Mimi sijamuelewa na sitamuelewa Mecky!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mimi sijamuelewa na sitamuelewa Mecky!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Bakulutu, Jan 31, 2012.

 1. Bakulutu

  Bakulutu JF-Expert Member

  #1
  Jan 31, 2012
  Joined: Nov 30, 2011
  Messages: 1,895
  Likes Received: 313
  Trophy Points: 180
  Jamani!!!
  Mimi sjamuelewa mkuu wa mkoa wa dsm eti mambo yanaenda vizur katika hosptali za jiji na wakati waandishi walioko eneo la tukio wanasema hakuna lolote,ni mateso haswa!
  Pia anadai alitembelea huku anaongea KULINGANA NA MAELEZO NILIO YAPATA!! Hiv ukifika eneo la tukio si unaitaji pia hujionee mwenyewe ndio pia useme!!
  Hana details za kutosha anadhubutu kuzungumza hadharani!!
  Ni aibu sana.
  INATOSHA.
   
 2. tz1

  tz1 JF-Expert Member

  #2
  Jan 31, 2012
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 2,118
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Sahani kutoka nje ya mada.
  Huyu jamaa ni mzawa wa mkoa gani?
   
 3. myhem

  myhem JF-Expert Member

  #3
  Jan 31, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 932
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  kuna mtu humu slogan yake inasema "kitu pekee ambacho wanasiasa huwa hawasemi uongo, ni kutaja majina yao"
   
 4. Bakulutu

  Bakulutu JF-Expert Member

  #4
  Jan 31, 2012
  Joined: Nov 30, 2011
  Messages: 1,895
  Likes Received: 313
  Trophy Points: 180
  Hahaaa..nimecheka saaana..ila kweli.
   
 5. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #5
  Jan 31, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,482
  Likes Received: 12,744
  Trophy Points: 280
  ntwara nadhani!!
   
Loading...