"quote of day from nape and nahodha" | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

"quote of day from nape and nahodha"

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by MR. DRY, Jan 31, 2012.

 1. MR. DRY

  MR. DRY JF-Expert Member

  #1
  Jan 31, 2012
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 639
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  "Kwa mfano, mimi kwenye sekretarieti hata posho za vikao huwa sichukui, nadhani na mwenzangu January naye sidhani kama huwa anachukua posho, kwa sababu tukifanya hivyo ni kama tunakiumiza chama, huo ndiyo msimamo wetu na uko wazi wala siyo kificho.”.....Nnauye Jr


  “Ulimwuliza Sitta kama ana uhakika.............Labda nikueleze kitu... hilo suala unalolisema mimi sijalisikia ila kama amezungumza hivyo basi alete ushahidi..............Kwanza hilo jambo la Sitta kusema Mwakyembe kalishwa sumu unaniuliza mimi? Kwa nini usimtafute huyo Sitta ili akueleze vizuri ili ujiridhishe?”(patia picha na sauti yake!)........Vua Nahodha
   
Loading...