Wakuu,huyu mkuu wa boma mbona anatembea sana,hivi huwa anapata muda wa kusikiliza hata ushauri?Leo 4.2.2012,tangu saa 10.30 jioni,niko nae MWANZA.Ameandaa ming'ombe,mawali,masoda na...
Wadau nipo hapa ubungo mataa naona kunapita msafara wa malori ya jeshi yapatayo kama kumi na tatu yakiwa yametanguliwa na gari la polisi la ving'ora wanaelekea barabara ya sam nojuma vp ndo wale...
Habari wana JF?
Naomba msaada wa kupata listi za mikoa yote ya Tanzania na wilaya zake zote.. Mwenye linki inayoweza kunipeleka huko anisaidie,au kama kuna mahali anaweza copy and paste...
Jamani wanaJF inakuwaje pamoja na vifo vinavyotokea katika mahospitali kutokana na mgomo unaoendelea bado viongozi wa wizara wapo madarakani. Hivi tuseme ni kiburi kilichovuka mipaka au ndo...
katika hatua ya kushangaza spika na waziri mkuu wamedai posho zimepanda wote wakiliongelea swala hili kwa nyakati tofauti na ofisi ya rais kukanusha kuwa hazijapanda huu ni mwendelezo wa vituko...
Nimefuatilia mchakato wa ugawaji wa fedha kwa walimu wapya wanaoripoti kwenye halmashauri zao na kupelekwa kwenye vituo husika. Baadhi ya halmashauri wanadai hawajapelekewa fedha za walimu hao...
Wapendwa nilikuwa nasikia bbc leo
nikasikia moja ya mapendekezo ya wah wetu ma dk ni mshahara wa million 3 ..pamoja na marupu rupu inafika mil 6
ikaulizwa je serikali gani yenye uwezo wa kuwalipa...
Baada ya kutoa matokeo sasa ndo nimeelewa kigugumizi cha serikali kuyatoa huku watoto wake zaidi ya nusu hawakufikisha 30!! Sijui kutatokea miujiza gani ili 2012 washindwe wachache wastani uzingatiwe!
Moja ya hoja madokta wanayoidai serikalini ni kuwa waruhusiwe kula msosi wanaopika kwasababu kwa utaratibu wa sasa wapo madokta ambao ni marufuku kufanya hivyo.
Eti kwa mshahara wa dokta hana sifa...
Habari za kuaminika kutoka BOT kitengo cha banking supervision zinakiri kupokea barua kutoka Nigeria za kumtaka Ayobola arudi/Recalled UBA-HQ kutokana kuvuja kwa mabaya yake na kusababishia UBA TZ...
MRADI WA KAPUNGA HALI NI TETE
Habari na Ezekiel Kamanga, Mbeya
Hali ya wakazi wa Kijiji cha Kapunga, wilaya ya Mbarali mkoa wa Mbeya imeendelea kuwa tete, baada ya mwekezaji wa mashamba ya...
In many cases phrases like people being proud of being black,African, Tanzanian etc pop up in an uncharacteristic occurrance,i feel that this is an infiriority comlex indicator,cuz its used by...
kumetokea tofauti ya idadi ya waliopata athari za mafuriko na wale wanaotakiwa kupewa viwanja eneo la mabwepande baada ya mafuriko.badala ya 550 idadi imeongezeka kufikia 650.hii inaashiria kuwa...