Hivi Tanzania kuna hati miliki ya uongozi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi Tanzania kuna hati miliki ya uongozi?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Nyumisi, Feb 5, 2012.

 1. N

  Nyumisi JF-Expert Member

  #1
  Feb 5, 2012
  Joined: Nov 10, 2010
  Messages: 451
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 60
  Jamani wanaJF inakuwaje pamoja na vifo vinavyotokea katika mahospitali kutokana na mgomo unaoendelea bado viongozi wa wizara wapo madarakani. Hivi tuseme ni kiburi kilichovuka mipaka au ndo kulindana kwenyewe huko.

  Kwa sababu hata madaktari wamewataja hao viongozi, waziri, naibu waziri, katibu mkuu, maganga mkuu wa serikali kwamba ni chanzo cha tatizo lote hili. Hivi huwa hakuna hata mtu wa kuwawajibisha hawa viongozi?

  Je hii maana yake ni kwamba tuko tayari kusacrifice madaktari wote hapa nchini ili hao viongozi waendelee kubaki madarakani? Hivi tunafikiria kweli?
   
 2. kweleakwelea

  kweleakwelea JF-Expert Member

  #2
  Feb 5, 2012
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 2,421
  Likes Received: 435
  Trophy Points: 180
  an intelligent question.....

  so far, huo ndio ukweli....kuna copyright katika hilo....hata Teddy Kasela Bantu alihakikishiwa bungeni kuwa familia yao iko included kwenye list
   
Loading...