Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msululu wa magari ya jeshi na raia wakiwa na vitu vyao vya ndani ya nyumba.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by GEOMO, Feb 5, 2012.

 1. G

  GEOMO Member

  #1
  Feb 5, 2012
  Joined: Jul 11, 2009
  Messages: 99
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 15
  Wadau nipo hapa ubungo mataa naona kunapita msafara wa malori ya jeshi yapatayo kama kumi na tatu yakiwa yametanguliwa na gari la polisi la ving'ora wanaelekea barabara ya sam nojuma vp ndo wale wapangaji waliokuwa wamejikusanya pale benjamini mkapa wamepatiwa hifadhi sehemu nyingine au? kama kuna mwenye taharifa zaidi atujuze
   
 2. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #2
  Feb 5, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,688
  Likes Received: 412
  Trophy Points: 180
  labda ni wale wakenya wanarudishwa kwao
   
 3. MUREFU

  MUREFU JF-Expert Member

  #3
  Feb 5, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 1,224
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  hata mm wamenipita hapa tegeta wanaelekea mabwe pande huko
   
 4. aikaruwa1983

  aikaruwa1983 JF-Expert Member

  #4
  Feb 5, 2012
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 1,186
  Likes Received: 767
  Trophy Points: 280
  yap ni wahanga wenzetu na hapa ndio wanashuka makao yetu mapya............
  tupo huku tunajenga shavu tu....mshua alituachia ka plot mtaroni bt now tuko kwenye tent
   
Loading...