J.K kiboko ya njia | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

J.K kiboko ya njia

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by J.K.Rayhope, Feb 4, 2012.

 1. J

  J.K.Rayhope JF-Expert Member

  #1
  Feb 4, 2012
  Joined: Oct 26, 2011
  Messages: 316
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wakuu,huyu mkuu wa boma mbona anatembea sana,hivi huwa anapata muda wa kusikiliza hata ushauri?Leo 4.2.2012,tangu saa 10.30 jioni,niko nae MWANZA.Ameandaa ming'ombe,mawali,masoda na mabiya,Kuzaliwa chama .Kesho mchana atakuwa KILOMBERO ya MOROGORO,hivi mbona hatulii mkuu wa kaya?
   
 2. Muke Ya Muzungu

  Muke Ya Muzungu JF-Expert Member

  #2
  Feb 4, 2012
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 3,451
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  magogoni kuna wale wadudu wa kuwashawasha
   
 3. mchemsho

  mchemsho JF-Expert Member

  #3
  Feb 4, 2012
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 3,158
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Kama anatumia barabara ichimbwe mashimo apotelee kusikojulikana
   
 4. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #4
  Feb 4, 2012
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,193
  Trophy Points: 280
  Safari za ndani ya nchi kwa rais ni sawa kabisa. Rais akikaa sana Ikulu anakuwa katika hatari ya kudanganywa na watendaji wake, akitembea nchini anajionea mambo yanavyoenda.

  Mie hata siku moja siwezi kumlaumu rais kwa safari za ndani ya nchi as long as anakutana na Watanzania, after all yeye ni rais wa Tanzania si rais wa Magogoni.

  Tatizo ni misafara ya nje inayobeba mamia ya watu kwa tija ambayo haiyumkiniki.
   
 5. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #5
  Feb 4, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Kuwa Rais haimaanishi ukae Ikulu muda wote wewe wa wapi?
   
 6. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #6
  Feb 4, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  marais waliokaa ofisini muda wote walifanya ni cha tofauti isiwe sababu
   
 7. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #7
  Feb 4, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  mbowe yuko USA ni wamoja
   
 8. Mtanzania haswa

  Mtanzania haswa JF-Expert Member

  #8
  Feb 4, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 665
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  kuwa rais uyaone
   
 9. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #9
  Feb 4, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  rais makini anafanya kazi mahali popote hata safarini kutokana na maendeleo ya teknolojia ya habari na mawasiliano
   
 10. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #10
  Feb 5, 2012
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,223
  Likes Received: 1,412
  Trophy Points: 280
  Kunaharufu mbaya ya samaki wa feri na upepo wa bahari
   
Loading...