LUKU imegoma kufanya kazi.

BORNCV

JF-Expert Member
Oct 11, 2011
242
46
Huduma ya LUKU kweli imetenda ,leo tunalala na giza. Sasa sijui watanilipa pesa yangu nilotumia kwenye m-pesa.
 
Mi juzi walinifanya hivyo
ila leo wamenirusishia
wamenikata sh kam skosei 70.ila
makwetu tabata
skuhizi naona
mgao upo unaendelea
maana lazma sayly umeme ukatike either
nite kali saba nane hivi
or mchana aghrrrr
 
taabu tupu mpaka sasa network ya luku hakuna,waliona mgao ni shida sasa wanaamua kufanya hivyo wapate wachache kwanza then warudishe tena.
TUMEKWISHA TANZANIA..OLE WETU.
Ee Mungu Tunusuru!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom