Juzi kati niliona watu wakishabikia bank ya crdb kuleta simbanking, Napenda kuwataarifu kinachoendelea sasa hvi...wateja wanaibiwa sana kupitia hii huduma yao ya cardless, wanaiba card numbers(atm...
Nilijibu thread inayaotaka watanzania tulioko nje turudi nyumbani. Nikaeleza kwamba niliwahi kuelezwa kwamba wakati Mary Nagu akiwa Wizara ya Utimishi, alipitisha waraka ulioagiza taasisi na...
Kiwanda cha Mang'ula Kilombelo ni Mbaya baada ya Kukabidhiwa Mama Rwakatare mwaka 2007 mda mfupi baada ya kupata ubunge .Mpaka sasa Mama Rwakatare amebadilisha matumizi yake na kusabasha wananch...
Nasikiliza clouds fm jamani
inatia moyo baada ya hotuba ya mh pinda wamesema sasa
wanarudi rasmi hospitalini wakiwapa mwezi mmoja kabla ya kurudi
tena na kutaka kujua hatima yao
basi kama...
Nilipita sehemu na kupewa flyer ya barber shop moja yenye kutoa huduma zifuatazo:
Classic Barber ShopTunatoa huduma zifuatazo:
kunyoa mitindo ya aina zote na Easy wave
scrubbing, mask, kuosha...
Hata siku moja akuna mtu atakuelewa ati kisa k uwarudisha ma dk unamfukuza blandina nyoni katibu mkuu pekee hii aieleweki hata kidogo...mh pinda ndani ya mwezi mmoja mliopewa na mdk akikisheni...
Furaha Maugo
SHIRIKA la Utafiti wa Afya na Tiba Afrika(AMREF), limetangaza kutumia zaidi ya Dola 16 milioni za Marekani sawa na takribani Sh25 bilioni, kwa ajili ya utekelezaji wa mpango mkakati...
Wanajavi wakati wa mgomo wa daktari tulikua tunawasikia watu wa kada tofauti wakitoa maoni yao kuhusiana na mgomo wa daktari,wengine walikua wakiwapinga madaktari, wengine kusupport...
Maisha ni safari ndefu ambayo mwisho wake ni kifo,hakuna aliyezaliwa pasipo kuja kuionja ladha ya umauti.Hata jabali kiasi gani ipo siku ujabali wako utaishia kwenye tani saba za udongo.Wako wapi...
SHAURI la kudharau amri ya Baraza la Ardhi na Nyumba lililokuwa limefunguliwa na bibi kizee mmoja jijini hapa, Moshi Juma Mzungu(67) dhidi ya watumishi wa Halmashauri ya Jiji la...
WAKAZI wa kijiji cha Machochwe katika Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti mkoani Mara wamegoma kushiriki shughuli zozote za maendeleo , hadi hapo watakaposomewa mapato na matumizi ya...
Kwa asilimia kubwa wizi wa magari maeneo ya UDSM na maeneo jirani ya hapo unafanywa na polisi wa kituo hiki kama sio wenyewe binafsi ni kwa kushirikiana na watu wanaowajua wao.
Dada mmoja kwa...
jamani wana JF najua humu kuna watu waelewa sana, hivi huyu beatrice shellukindo anamlengo gani? i mean ndani ya CCM anamatakwa gani? adui zake ni nani? je baba yke aliwah kuwa nani? na yeye...
Baadhi ya viongozi wa chama tawala wanasema wanapinga ufisadi na wanataka Watanzani wawe na maisha bora kwa kutumia rasilimali za nchi.
Wanataka tuwaamini lakini tuzidi kujiuliza kila siku...