Tigo wameshachemka jiji la mwanza | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tigo wameshachemka jiji la mwanza

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Biohazard, Feb 10, 2012.

 1. Biohazard

  Biohazard JF-Expert Member

  #1
  Feb 10, 2012
  Joined: Aug 21, 2011
  Messages: 1,987
  Likes Received: 260
  Trophy Points: 180
  Toka jana saa 10 jioni wale wanaotumia TIGO mwanza hawana network mpaka hivi leo, Tatizo ni nn? Mie nishatupa simu pamoja na line yake sahizi.

  OVA
   
 2. mchambuzixx

  mchambuzixx JF-Expert Member

  #2
  Feb 10, 2012
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 1,294
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  m nilifikir labda simu yangu mbovuu..kumbe network duuh hawa na tanesco wanaongoza kwa kutukanwa
   
 3. charger

  charger JF-Expert Member

  #3
  Feb 10, 2012
  Joined: Nov 21, 2010
  Messages: 2,318
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 135
  Kweli mkuu ishakua kero,kazi imewashinda hawa jamaa bus jekundu lazima lijae kwa staili hii:smash:
   
 4. Chilipamwao

  Chilipamwao JF-Expert Member

  #4
  Feb 10, 2012
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 506
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Hii ni kweli kwa tigo hakuna kinachoendelea hapa Mwanza. Hii ni aibu kabisa
   
 5. Chilipamwao

  Chilipamwao JF-Expert Member

  #5
  Feb 10, 2012
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 506
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Hata Voda inasua ni jana usiku ndipo internet imeanza kufanya kazi.
   
 6. daughter

  daughter JF-Expert Member

  #6
  Feb 10, 2012
  Joined: Jun 22, 2009
  Messages: 1,272
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  ivi kumbee,mi nikajua kamodem kangu ndo kameroga
   
 7. T

  Takayangu Member

  #7
  Feb 10, 2012
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 37
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  kwa sasa imesharudi.
   
 8. G

  Gonza Member

  #8
  Feb 10, 2012
  Joined: Mar 31, 2010
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kuna mtatizo ya kiufundi yametokea Mwanza ambapo wateja wetu hawawezi kupiga wala kupokea simu. Kwa sasa wanaweza kupiga Tigo kwenda Tigo. Mafundi wetu bado wanashughulikia kutatua tatizo haraka iwezekanavyo. Samahani kwa usumbufu.
   
 9. S

  Sometimes JF-Expert Member

  #9
  Feb 10, 2012
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 4,570
  Likes Received: 359
  Trophy Points: 180
  Mkuu ni kweli hata Kigoma mitandao ya Tigo na Voda ilikuwa haipatikani jana. Leo pia Voda haipatikani. Hatuwezi kutuma sms, kujua salio! Sina uhakika na Mpesa.
   
 10. TECHMAN

  TECHMAN JF-Expert Member

  #10
  Feb 10, 2012
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 2,679
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Nyie bado mnatumiaga hii mitakataka? kalagabaho, AMIA AIRTEL ( Tangazo hili ni kwahisani ya AIRTEL)
   
Loading...