Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kwa kweli mtandao wa internet kwa bundle yoyote utakayochagua ni wizi mtupu: Weka hata Tsh 15,000/- ndani ya saa 1 imeisha - download kidogo - only browsing. weka 400MB kwa tsh 2,500 bado mbaya...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Katika mji wa musoma airtel tunaomba mfunge vifaa vyenu vya internet,kwa kwel tunapata tabu sana kupata internet ya uhakika na ya bei nafuu. Airtel kama mkomboz wetu chondechonde njooni mtusaidie...
0 Reactions
0 Replies
936 Views
Wakuu nilikuwa nasikiliza taarifa ya habari ya RFA nikasikia kuwa rais wa nchini Haiti amepigwa mawe na wanafunzi wa chuo kikuu nchini humo alipokuwa akitoka kwenye sherehe usiku,walinzi wake...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
police wakiume apigwa kofi na kwenda chini na mwanajeshi wa kike kuchelewesha kuita magari hapa nipo mbagala rangi tatu
0 Reactions
47 Replies
7K Views
kwenu TBC , jua kuwa nyinyi mlipewa ruzuku kutu-habarisha juu ya ulimwengu, sasa hii staili ya kuungana na wachina kuifanya TV iwe kibiashara zaidi siyo mbaya, lakini izingatieni hali halisi ya...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Nafanya tafakuri ya masahibu yaliyomkuta mpambanaji Mh. Mwakyembe (Mb) NW. Nashindwa kabisa kupata picha, Waziri ambaye yupo madarakani, zaidi ya mwaka uliopita alitoa taarifa na ushahidi kuhusu...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu wanaohusika na wanyama, wanasema Wachina hao wamekiri mashtaka ya kuwafanyia ukatili wanyama hao. Wachunguzi wanasema walikuta magamba ya kobe 40, aina ya Bell's Hinge - aina adimu ya kobe...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Clouds FM wamefanya undava kwa kushirikiana na Tanesco wamezima umeme hili watu waende kwenye mechi yao,hayo mavitu mnayofanya clouds sio kabisa ebu tuwashieni umeme bwana! Nawasilisha.
2 Reactions
31 Replies
3K Views
Loading....
0 Reactions
1 Replies
869 Views
Mbolea bandia yaharibu mazao Mbozi Send to a friend Friday, 17 February 2012 21:03 0diggsdigg Brandy Nelson,Mbozi UONGOZI wa Serikali wilayani Mbozi, umesema mbolea bandia...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Jamani kunatabia inanikera katika jamii yetu Utakuta ndugu yenu anaugua anakosa pesa ya kwenda hospitali , ndugu wanajikausha wakati uwezo wanao wakumsaidia. Akifa ndipo kila ndugu anjitia...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Nimenunua decorder ya startimes.nimetumia siku mbili tu.ya tatu inaleta no signal.nimehangaika na maelekezo ya antenna wapi.kwanini mnauza vitu vibovu
0 Reactions
3 Replies
1K Views
kulingana na kituo cha ITV taarifa ya habari jioni hii,tukio hili limetokea huko mkoani tabora na kuthibitishwa na kamanda wa polisi mkoani humo,ambapo marehemu amefahamika kwa jina la Mipawa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kanda ya Kusini imependelewa kwa kuwa na Wabunge ambao wengi wao ni Mawaziri ambapo kwa Mkoa wa Mtwara: Mtwara Vijijini Mbunge wake ni Mh: Hawa Ghasia ambaye ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Raisi...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Zanzibar ina: Serikali yake Raisi wake Bendera yake Wimbo wake wa taifa Bank kuu- bank ya watu wa zanzibar Katiba yake Jeshi lake la ulinzi Kilicho baki ni kuwa sarafu ya zanzibar. Wito...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Mahembe Primary School head teacher in Kigoma Rural District Yahya Kassim teaches Standard IV pupils under a palm tree as captured by own correxpondent yesterday. (Photo: Correspondent Jockton...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
msemaji wa ikulu,ktk kipindi cha jahazi,amesema nchi iko shwari kabisa,na imani ya wananchi kwa rais wao inazidi kukua kila cku!!tatizo la mfumuko wa bei sio tatizo la serikali ni tatizo la dunia...
2 Reactions
58 Replies
5K Views
Diwani wa kata ya kijitonyama (Dsm) ambaye pia ni mwenyekiti wa serikali ya mtaa wa Ally maua kupitia CHADEMA Juma Athman Uloleulole, amedakwa na polisi na kufikishwa kituoni kwa kosa la...
0 Reactions
47 Replies
4K Views
Wana Jf Naomba niuluze swali leo ktk BBC swahili tunaelezwa kuwa Tanzania ni nchi ya tatu Africa kuwa na madini mengi,lakini bado nchi zisizo na mali asili hiyo zinatuongoza ktk maswala ya uchumi...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Mara kadhaa nimekuwa nikipigiwa simu na namba 0901901901 ambayo ni automated call. Unapopokea simu hii unapatiwa maelezo ambayo huna haja wala shida nayo jambo ambalo kwangu mimi huwa naliona...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…