Breaking News! Rais wa Haiti Apigwa Mawe! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Breaking News! Rais wa Haiti Apigwa Mawe!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Landala, Feb 18, 2012.

 1. Landala

  Landala JF-Expert Member

  #1
  Feb 18, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 910
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Wakuu nilikuwa nasikiliza taarifa ya habari ya RFA nikasikia kuwa rais wa nchini Haiti amepigwa mawe na wanafunzi wa chuo kikuu nchini humo alipokuwa akitoka kwenye sherehe usiku,walinzi wake walifanya kazi kubwa ya kumlinda rais wao ili mawe yasimpate.
   
 2. u

  ureni JF-Expert Member

  #2
  Feb 18, 2012
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 959
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Mkuu naona umeweka kama tangazo la kuuza magazeti.
   
 3. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #3
  Feb 18, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 26,350
  Likes Received: 4,785
  Trophy Points: 280
  udaku!!
   
 4. Sniper

  Sniper JF-Expert Member

  #4
  Feb 18, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,940
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Ungeandikwa kwenye title yako Rais wa Haiti apigwa mawe, hapa pipo zinafungua zinafkiri JK kapigwa mawe, mweeeh
   
 5. E

  Enny JF-Expert Member

  #5
  Feb 18, 2012
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 949
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 45
  Duu mimi nilidhania JK
   
 6. v

  valid statement JF-Expert Member

  #6
  Feb 18, 2012
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 2,732
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Kumbe ni wa haiti?
   
 7. Josephine03

  Josephine03 JF-Expert Member

  #7
  Feb 18, 2012
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 752
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wadaku mko wengiiii acheni kuingilia kazi za watu kama mnapenda kuandika habari simsomeeee. Kwani ungeandika Rais wa MaHITI kapigwa mawe tusingeingiaaa. Acha kuweka que za kijinga
   
 8. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #8
  Feb 18, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,240
  Likes Received: 325
  Trophy Points: 180
  Mtoa mada unafaa kufanya kazi kule kwa Shigongo!
  Maana Tz tunao maraisi wawili tuu i thought one of them
   
 9. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #9
  Feb 18, 2012
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,026
  Likes Received: 328
  Trophy Points: 180
  hataki kutoka madarakani nini?
   
 10. muwaha

  muwaha JF-Expert Member

  #10
  Feb 18, 2012
  Joined: May 13, 2009
  Messages: 744
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Title haijatulia, umeandika kama magazeti ya udaku?!
   
 11. Landala

  Landala JF-Expert Member

  #11
  Feb 18, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 910
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Baadhi ya wananchi wamemchoka,wanasema kuwa alichakachua kura wakati wa uchaguzi mkuu,ndo maana hao wanafunzi hao wa chuo kikuu wakampiga na mawe ili kufikisha ujumbe wao.
   
 12. N

  Njangula Senior Member

  #12
  Feb 18, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 179
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Rais mwenyewe nasikia mwanamuziki . Umaarufu wa muziki ulimpa urais lkn bahati haujamatch na utendaji wa urais.
   
 13. Zuia Sayayi

  Zuia Sayayi JF-Expert Member

  #13
  Feb 18, 2012
  Joined: Mar 28, 2011
  Messages: 823
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Hiyo itakuwa tam ikitokea Bongo
  maana itaundwa tume ya kuchunguza mawe yaliyompata Rais
   
 14. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #14
  Feb 19, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,053
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Ooh kumbe jk anaafadhali alipo booo pale UD hyu wamepga kabisa?safi sana hait.
   
 15. Ng'wanza Madaso

  Ng'wanza Madaso JF-Expert Member

  #15
  Feb 19, 2012
  Joined: Oct 21, 2008
  Messages: 2,277
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
Loading...