Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

nimegundua kwamba humu jf maskini ndio wanaongoza kumchukia lowassa wanalaumu kwamba yeye ndio aliyefanya maisha yao yawe magumu kitu ambacho sio kweli watu ambao wanafaa kuwachukia ni wazazi...
4 Reactions
90 Replies
7K Views
Rushwa ni adui wa CCM - YouTube
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu nilikuwa naagalia taarifa ya habari ya TBC1. Ikaja taarifa inayohusu uhakiki wa mali ya watumishi wa umma. Majina 10 yakatajwa wanaofuata kuhakikiwa, yakijumuishwa na majina 71...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
  • Closed
Mgomo wa madaktari uliomalizika hapo juma na unaoendeleo hata leo wahusishwa na udini kuwa eti Dr haji mponda anashinikizwa kujiuzulu maana ni muislam na wanasema hawa wanaharakati hawafai maana...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
u Lazy (Intellectual) African Scum! So I got this in my email this morning…what you think about this...!!! They call the Third World the lazy man’s purview; the sluggishly slothful and languorous...
0 Reactions
0 Replies
876 Views
Hii picha inayoendelea mbele ya Pilato (Jk) kati ya Balaba (Mawaziri wa afya) na Yesu (wadanganyika). Je pilato Afanyeje?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hatua yoyote ile ya kugoma kutoa huduma kwa WATANZANIA wasio na hatia haitakubalika. Kwa sasa watanzania tutalaani na kupinga action yoyote kwa madaktari wanayokusudia kuchukua. Hatua hiyo ni kama...
4 Reactions
96 Replies
7K Views
Habari wanajamvi. Zile semina za kila mwaka za Mtumishi wa Mungu Mwl. Christopher Mwakasege zimeanza leo jijini Tanga kwenye viwanja vya Tangamano kila siku kuanzia Saa 8 kamili mchana hadi saa...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
jaman wana JF habari zenu. Kumbe La Familia ni kundi hatari lililopo Mexico ambalo linajishughulisha uuzaji wa madawa ya kulevya..sasa Chid Benz ameiga kuita kundi lake lla familia je nao wanauza...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Niukweli usio fichika kuwa wana wa mbeya tulimchagua Sugu kuwa Mbunge wetu sio kwa kutokana na Elimu yake au umaarufu wake bali km mtu aliye onekana jasiri na mpigania haki za wanambeya na Wasanii...
2 Reactions
98 Replies
9K Views
Hadi muda huu watu wawili wamefariki dunia baada ya wanajeshi wa Kambi ya Lwamishenye mjini Bukoba kuvamia mtaa wa Anyama na kutembeza kipigo. Pia muda mfupi uliopita polisi wamewatawanya...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Watanzania tumezoea kutowawajibisha viongozi mtu anavulunda anajua miaka mitano ikifika anachapa lapa huu mtindo waliohuanzisha madaktari wa kuwawajibisha utaleta mabadiliko badala tusisubiri hiyo...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Jamaa yangu alimpangisha nyumba yake. Mpangaji akapiga picha kwenye hiyo nyumba na kutengeneza document na mihuri feki kwamba hilo eneo ni lake. Akawahonga baadhi ya viongozi wa serikali ya mitaa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Napenda kutoa shukrani zangu kwa wana JF wote kwa kua nami karibu tangu kufariki kwa mwanangu mpaka maziko na atimae sasa leo nimeitimisha msiba. Kwa kweli inauma sana kuondokewa na mtoto...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Kumeibuka wimbi kubwa la vyombo vya moto kuharibika yakiwemo magari na pikipiki kutokana na wamiliki kuuziwa mafuta machafu katika Manspaa ya mji wa Zanzibar. Tatizo hilo limeanza kujitokeza siku...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Mwenyekiti Uda awashukia wabunge Dar Na Mwandishi wetu 5th March 2012B-pepeChapaMaoni Meya Dk. Didas MasaburiMwenyekiti Mtendaji wa Kampuni Simon Group, Simon Kisena, amewashukia wabunge wa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari za kuaminika kutoka kigoma ni kwamba walimu wa sekondari na shule za msingi leo kuanzia saa 6 mchana waliwafungia wakuu wa idara katika manispaa ya kigoma ujiji akiwemo mkurugenzi wa...
3 Reactions
5 Replies
2K Views
Ufisadi unakula nchi yetu na unataka kuimaliza,haya matatizo yote ni matunda ya mdudu ufisadi,mdudu huyu amepelekea hata wafadhili wetu wasiwe na imani na serikali yetu kiasi cha kutoa hela kwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hii habari niliisikia kama tetesi siku ya ijumaa tarehe 2/3/2012 kwa kuwa nilikuwa nadai vihela vyangu huko Kasulu na niliahidiwa kuzipata Jumatatu nilifunga safari Ijumaa na kufika jioni na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kamanda wa Polisi Mkoa huo, Charles Kenyela Hatimaye Jeshi la Polisi Mkoa wa Kinondoni, Kanda Maalum ya Dar es Salaam, limewafukuza kazi askari wake wawili waliokuwa wakikabiliwa na mashtaka ya...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…