Maskini na chuki kwa Lowassa

Kiboko Yenu

JF-Expert Member
Feb 12, 2012
311
65
nimegundua kwamba humu jf maskini ndio wanaongoza kumchukia lowassa
wanalaumu kwamba yeye ndio aliyefanya maisha yao yawe magumu kitu ambacho sio kweli
watu ambao wanafaa
kuwachukia ni wazazi wao waliowa rithisha umasikini wazazi wao walikuwa wazembe wakati wazazi wa wenzao walipokuwa wanatafuta maisha bora
kazeni acheni lawana za kitoto
 
Umegunduaje umaskini wa wanajf unapelekea chuki kwa EL? Watumia barometer made in CHINA or??
 
Utawajua kwa kuto kujua kwao, Sisi walalahoi hatumchukii Lowassa na wengine, tunachokichukia ni kutumia Mali zetu za Umma kwa manufaa yao na familia yao. I hate anyone anayeiba mali zetu za umma kwa manufaa yake. Kwa hiyo kama baba yako alikujengea maisha kwa mtindo wa Lowassa basi hatuna budi nasi walalahoi kukuchukia hata wewe. Mafisadi mnaotuibia mali zetu ndio umeona ujanja sio?
 
nimegundua kwamba humu jf maskini ndio wanaongoza kumchukia lowassa
wanalaumu kwamba yeye ndio aliyefanya maisha yao yawe magumu kitu ambacho sio kweli
watu ambao wanafaa
kuwachukia ni wazazi wao waliowa rithisha umasikini wazazi wao walikuwa wazembe wakati wazazi wa wenzao walipokuwa wanatafuta maisha bora
kazeni acheni lawana za kitoto

Wewe kama si magamba basi mmasai
 
leta a/c yako tujue wewe unashilingi ngapi! kujikomba kwa Lowasa na kutumwa ukamletee mademu ndio umejiona tajiri! wewe lazima ushampa lowasa mkeo!

nimegundua kwamba humu jf maskini ndio wanaongoza kumchukia lowassa
wanalaumu kwamba yeye ndio aliyefanya maisha yao yawe magumu kitu ambacho sio kweli
watu ambao wanafaa
kuwachukia ni wazazi wao waliowa rithisha umasikini wazazi wao walikuwa wazembe wakati wazazi wa wenzao walipokuwa wanatafuta maisha bora
kazeni acheni lawana za kitoto

Tatizo la kunywa chang'aa ndiyo hilo.
 
Lowasa anahusika sana
Lowassa amekuwa PM haifiki hata miaka 3. Amepiga deals zake kama ambavyo watangulizi wake walivyofanya. Kilichomsibu ni pale alipoamua kuwajibika, kumbe kizazi cha leo hatuhitaji watendaji kuwajibika. Hebu tuwatazame akina Nkapa, mama Nkapa, Sumaye, Msuya na mawaziri wa enzi hizo akina Mramba, Yona, Simba, Diallo etc. Kinachomsibu huyu ni kuwajibika kwake tu.
Yanitatiza sana kuamini kama kweli EL ndie amesababisha hali ya maisha kwa watanzania kuwa ngumu kiasi hiki, NOP.
 
Mtanzania (mtumishi wa serikali) ayeishi kwa kutumia kipato chake halali atakuwa maskini hata kama amesoma, mshahara wenyewe wa graduate ni laki tatu. Wewe na jamii yako ni matajili siyo sababu eti mmesoma, ni kwa sababu ninyi ni mafisadi na wezi, na huo ufisadi wenu ndo unasababishia nchi umaskini.
 
Shida ya wabongo hawataki kuambiawa ukweli . Waambie hata kama inawachoma.
 
popote pale Dunia, Elimu inapaswa kumsaidia mtu kufuta ujinga, kama elimu haitomsaidia kufuta ujinga basi yawezekana ujinga alionao ni urithi kutoka kwa wazazi,

hakuna utajiri mkubwa kama elimu, leo kina Steve jobs wamekufa lakini bado vizazi vyake vinakula pesa chafu kutokana na ideas za kisomi walizokua nazo wazazi wao,
usitowe Maneno ya kashfa coz huwajuwi wote wote wa JF.. pesa ulizonazo kunawatu hapa JF wanaweza kuzipata Mara 50 ya ulizonazo kutokana na ideas zao kwenye jamii kutokana na elimu walizonazo ....
 
Back
Top Bottom