Mgomo wa madaktari unahusishwa na udini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mgomo wa madaktari unahusishwa na udini

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pendael laizer, Mar 7, 2012.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. Pendael laizer

  Pendael laizer JF-Expert Member

  #1
  Mar 7, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 961
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mgomo wa madaktari uliomalizika hapo juma na unaoendeleo hata leo wahusishwa na udini kuwa eti Dr haji mponda anashinikizwa kujiuzulu maana ni muislam na wanasema hawa wanaharakati hawafai maana wanaibua mambo katika sekta ambazo waislam wamezishkilia na wanadai kuwa watakuja hata kumshinikiza rais Jk kujiuzulu manake nchi haita tawalika na wanasema pia waislam wanaonewa sana hata katika elimu manake waziri wa elimu ni mkiristo. Wamesema wanaandaa maandamano makubwa kupinga mgomo wa madaktari na kuwapinga hawa wanaharakati maana watakuja sababisha nchi isitawalike. Source radio imani asubui hii
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...