Sasa ni zamu ya tanga 06.03.2012-11.03.2012

mchemsho

JF-Expert Member
Jun 8, 2011
3,215
867
Habari wanajamvi. Zile semina za kila mwaka za Mtumishi wa Mungu Mwl. Christopher Mwakasege zimeanza leo jijini Tanga kwenye viwanja vya Tangamano kila siku kuanzia Saa 8 kamili mchana hadi saa 12 jioni hadi siku ya kilele jumapili ya tar 11.03.2012. Watu wa dini zote na imani zote ambao tuna nafasi ya kuhudhuria karibuni . Mungu atubariki Sote.!
 
Furahieni...maana yule mtu akija mahali hutamani aondoke ki ukweli,mwitikio wa watu ukoje huko?
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom