Kuna wakati tulijadili hapa kwamba serikali imefilisika, ukweli au si ukweli si hoja, lakini huwezi kuamini mimi ni mfanyakazi wa serikali hadi leo tarehe 6 mshahara haujaingia. Serikali ya JK...
Clouds media wametangaza nafasi ya kazi kwa mtangazaji wa kike wa michezo
mode of application- personal visit to their offices leo.mchujo na mshindi ni leoleo..haya wadada changamkieni...
Nadhani wengi mmeona facebook za mgomo wa madaktari na twitter zinavyovyurumushwa kila sekunde
hivi kwa serikali ambayo bado inategemea kutoa habari kupitia michuzi blog na gazeti la uhuru...
Wakuu,
Wenye data za huyu 'daktari' wamwage maana sijui kama ni mzima au anataka kumtapeli JK kama Nshomile Rweyemamu ili apewe ulaji. Hivi kama kweli huyu amesoma hajui hata haki za wanataaluma...
Wanajamiiforums wenzangu jana nilimsikia waziri mkuu akisema kuwa madaktari wakigoma watakuwa wamevunja miiko ya kazi yao. Inaonyesha kuwa serikali haijakubaliana na madai ya hawa watu na...
Sote tunakubaliana kuwa madaktari wanayo madai ya msingi wanayotaka serikali iwatekelezee, ila kinachoanza kijikita sasa katika fikira zetu ni namna ya kudai haki zao na uhalali wa kila njia...
sijawahi kuona matokeo ya kushangaza ya mtihani wa taifa yakitolowa kama ilivyotokea haya ya 2011 hapa Tanzania ,nimetembelea nchi nyingi na pia kusikiliza vyombo vingi vya habari vya...
Serikali ilionekana kuridhia kirahisi sana mapendekzo ya waheshimiwa kuongezewa posho pale mjengoni. Bila shaka waheshimiwa walifanya hivyo wakiamini hakuna atayeleta 'zengwe' pengine wakiamini...
to be honest hakuna jambo linaliniudhi kama hili jambo linalopigiwa debe kuliko hata maendeleo "GENDER BALANCE" unakuta katika nafasi za uongozi ati lazma nafasi ijazwe na mwananmke tu( yale yale...
kila mtu anahaki ya kugoma na kuandamana.
Madaktari mmetisha. Ila anaeumia ni sisi maskini.
kimsingi Madaktar wapo sahihi kwani serikali imeonyesha kutokujali makubaliano.
Nadhani umefika wakat...
Ni wakati mwingine kwa waandishi wa habari za utafiti na watafiti kuchunguza na kupata data za vifo vya watanzania kutokana na uzembe na maamuzi mabovu ya wanasiasa. Sizungumzii waandishi wa...
Wakuu salaam,
Taarifa kutoka Wilayani Ujiji (Kigoma), walimu wapya wamewafungia ofisini wakuu wa idara kwa masaa kadhaa. Sababu kubwa ni kutokulipwa mishahara yao ya February.
My Take.
Mbuyu...
Limekuwa jambo la kawaida kuona silaha [ zinazoitwa za jadi ] kuuzwa hovyo kila mahali na sumu za kuua panya ambazo zina uwezo vilevile za kuua binaadam.Hivi mamlaka zipi zina ruhusu hali hii ...
Umeme hatujui ni wa mgao?maana mchana maeneo mengine hakuna,asubuhi unakatwa saa tatu unarudi,jioni unakatwa mida ya menu,yaani hata taarifa ya habari inakuwa mgogoro.Umeme yaani unadim kama taa...
Binadamu tunatofautiana,ujasiri na maamuzi ya wenzetu huko A.kusini wameandamana kwa sababu ya ushuru wa barabara kutoka mji wa J,burg kwenda Pritoria,Tz watu wanakufa hospital tunabaki...
Jamani nafasi za kazi kwa madaktari hizi hapa kule nje ya nchi maslahi ni mazuri tu bonyeza hapa
Doctor's Employment - Employment For Doctors | Medical locum positions Australia
Nimeona kwenye facebook page yao, kwamba kuanzia mwezi wa saba mwaka huu, ndege zitaanza kutua Kilimanjaro pia.. Hongera Qatar
https://www.facebook.com/qatarairways
Sisi wakazi wa ukonga sasa ni miezi kadhaa tunataabika na adha ya umeme kwani tumekua na mgao usio na ratiba kipindi kirefu sasa, jamani tuambieni ukweli nini tatizo tumechoka sana