Dhibitini hizi silaha za jadi na sumu zinazouzwa hovyo hadharani

ABBY MAGWAI

Member
Oct 4, 2011
22
0
Limekuwa jambo la kawaida kuona silaha [ zinazoitwa za jadi ] kuuzwa hovyo kila mahali na sumu za kuua panya ambazo zina uwezo vilevile za kuua binaadam.Hivi mamlaka zipi zina ruhusu hali hii , watanzania wengi wana msongo mkubwa wa mawazo unapelekea watu kufyafuka na kuwa na hata mawazo za kujitoa roho .Jamani tuangalie hili . Wakati wa usiku mtu anakuuzia sime, kuwe na usajili wa silaha za jadi . ikiwezekana hata wamasai wapokonywe silaha hakuna cha utamaduni ktk hili.au ni maandalizi ya uchaguzi mkuu ujao ? hebu tufunguke
 
Mimi naunga mkono hoja kwamba uuzaji wa silaha hadharani upigwa marufuku, je ikitokea kichaa akamwapua machinga kisu na kuwachomeka raia ni nani atalaumiwa? sumu wacha ziuzwe maana hili ni la kibinafsi zaidi, maadhara yake ni kwa mtumiaji mwenyewe kwa kukusudia KU-RIP:A S-coffee:
 
Back
Top Bottom