Tanesco tuambieni ukweli wakazi wa ukonga

masharubu

Senior Member
May 5, 2010
155
10
Sisi wakazi wa ukonga sasa ni miezi kadhaa tunataabika na adha ya umeme kwani tumekua na mgao usio na ratiba kipindi kirefu sasa, jamani tuambieni ukweli nini tatizo tumechoka sana
 
Back
Top Bottom