MwanzaCity Umeme Haueleweki. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

MwanzaCity Umeme Haueleweki.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Bornvilla, Mar 7, 2012.

 1. Bornvilla

  Bornvilla JF-Expert Member

  #1
  Mar 7, 2012
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 925
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Umeme hatujui ni wa mgao?maana mchana maeneo mengine hakuna,asubuhi unakatwa saa tatu unarudi,jioni unakatwa mida ya menu,yaani hata taarifa ya habari inakuwa mgogoro.Umeme yaani unadim kama taa za dimlight! Mzee wa megawat alituambia tutakuwa na umeme wa uhakika je,huu ndio umeme wa uhakika?
   
 2. Kiby

  Kiby JF-Expert Member

  #2
  Mar 7, 2012
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 5,202
  Likes Received: 1,007
  Trophy Points: 280
  Serikali ya kisanii imesingizia mengi sana kuwa ndio chanzo cha kukosekana umeme. Sasa wamekosa la kusingizia wameamua kuendeleza mgao nchi nzima kimya kimya.
  Huku Ngereja akisisitiza, ''Sijiuzulu ng'o!!''
  .
   
Loading...