Ushuru wa barabara tu, maandamano SA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ushuru wa barabara tu, maandamano SA

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Goheki, Mar 7, 2012.

 1. Goheki

  Goheki JF-Expert Member

  #1
  Mar 7, 2012
  Joined: Aug 23, 2011
  Messages: 270
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Binadamu tunatofautiana,ujasiri na maamuzi ya wenzetu huko A.kusini wameandamana kwa sababu ya ushuru wa barabara kutoka mji wa J,burg kwenda Pritoria,Tz watu wanakufa hospital tunabaki kulalamika tu bila kuchukua maamuzi magumu,rais yupo na taarifa za kujithamini. source Itv.
   
 2. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #2
  Mar 7, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,129
  Trophy Points: 280
  watanzania sisi ni waoga kama wahindi na Tanzania na India ndizo nchi pekee zenye watu waoga sana, wale kule south wanaumoja sana viongozi wa vyama vya wafanyakazi wakitangaza mgomo ni wote wanagoma,

  Njoo Tanzania, Viongozi wa Madaktari wanatangaza mgomo wengine wanagoma na wengine wanaendelea na kazi kwa staili hii hakuna ukombozi hata siku moja watu hawana umoja haiwezekani mkubaliane kugoma halafu wenzenu wawageuke na kwenda kazini,

  Na huili la wafanyakazi kukosa Umoja ni Fiada sana kwa serikali, make hapo wanajua hata mgomo ukiitishwa wapo watakao goma na wapo ambao hawatagoma,

  Na hakuna nchi nyingine ambayo wafanyakazi hawana umoja kama Tanzania, Cheki mfano wa NIGERIA mwezi uliopita waliandamana wote hadi kikaeleweka


  Tunabaki kunadmana kwenye mitandao ya kijamii na kwenye vijiwe
   
Loading...