Duuu..! Bora Lowasa angekuwa president kuliko JK | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Duuu..! Bora Lowasa angekuwa president kuliko JK

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by gango2, Mar 8, 2012.

 1. gango2

  gango2 JF-Expert Member

  #1
  Mar 8, 2012
  Joined: Aug 31, 2011
  Messages: 1,237
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  Duu,

  ama kweli sikio la kufa halisikii dawa, yaani anawaogopa watendaji wenzake kuwawajibisha kabisa
  ona sasa tutaanza kufa sasa hivi coz yako, madaktari walikwambia wawajibishe viongozi wakuu wa
  wizara umewaonea aibu, sasa sijui tufanyenini.

  mbona Pinda alimwajibisha nyoni, yeye sijui kwanini anawaonea aibu hao wngine, ili uonekane mwema
  sanaa,

  duu amakweli nimeanza kumkumbuka lowasa ambaye pamoja na kwamba ni fisadi lakini alikuwa muwajibikaji
  ipasavyo, so ni bora angekuwa yeye rais kuliko huyu JK
   
 2. bucho

  bucho JF-Expert Member

  #2
  Mar 11, 2012
  Joined: Jul 13, 2010
  Messages: 4,547
  Likes Received: 428
  Trophy Points: 180
  Hili nalo neno.
   
 3. Kennedy

  Kennedy JF-Expert Member

  #3
  Mar 11, 2012
  Joined: Dec 28, 2011
  Messages: 11,363
  Likes Received: 2,990
  Trophy Points: 280
  Sikio la kufa litasikia kwa MUNGU!
   
 4. Aleyn

  Aleyn JF-Expert Member

  #4
  Mar 11, 2012
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 10,230
  Likes Received: 13,687
  Trophy Points: 280
  Watanzania tuombe Mungu ili Rais afe kwa kweli,na viongoz wote washirikina kama yeye wafe.
   
 5. K

  Kima mdogo JF-Expert Member

  #5
  Mar 11, 2012
  Joined: Sep 17, 2011
  Messages: 303
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ni heri j.k *100 kuliko lowassa, mana j.k kaonyesha waziwazi kuwa ni mbwamwitu kuliko E.l ambaye ni ni jibwakoko lililovaa ngozi ya kondoo, sa hivi linajidai kuinamisha bichwa kula majani wakati linausongo na nyama ole wenu mlikabidhi bucha muone kama mtaambulia hata mifupa.
   
 6. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #6
  Mar 11, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Kwani wewe ndio unajua leo mkuu? Lowassa ni president wetu 2015.
   
 7. Nyetk

  Nyetk JF-Expert Member

  #7
  Mar 11, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 1,624
  Likes Received: 819
  Trophy Points: 280

  EL simply sucks!
   
Loading...