Uvaahi mavazi ya kike kama ze comedi na utogaji masikio ni aibu

Makupa

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
5,023
2,553
Nimekuwa nafuatilia mijadala mbali mbali kuhusu kuenea kwa tabia za kitamaduni za magharibi kwa muda sasa, nilichogundua ni kwamba watanzania hawajui kuwa tamaduni za kimagharibi tunazopinga ni danganya toto, mfano kama wewe ni mfuatiliaji wa baadhi ya vipindi vya rundinga hapa mjini wasanii wengi hasa wa kiume wameamua kujibadilisha jinsia kwa muda kwa kuvaa mavazi ya kike ili hali ni wanaume.Rai yangu ni kwamba watanzania wote tukemee hii tabia chafu ambayo hata vituo vyetu vya television vinaeneza hii sumu.
 
Back
Top Bottom