Jamani napenda ku-declare interest kuwa mimi ni mtumishi wa umma katika Idara ya Afya..
Lakini,tuseme ukweli... Katika idara ambazo inasemwa ni kazi za wito,yetu na ya Waalimu,tunanyanyasika...
TANZANIA TARATIBU IMEANZA KUINGIZIWA siasa za kibaguzi. Ubaguzi wa kimatabaka kama udini na ukabila. Chuki za ukabila zilianza kupandikizwa zidi ya baadhi ya vyama. Kwa bahati mbaya taifa tayari...
MKURUGENZI Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), William Mhando, amesema ingawa suala la kupatiwa umeme lipo kwenye stahili za mkataba wake, hawezi kubishana na uamuzi wa Kamati ya...
TAARIFA HII NI KWA MSAADA WA MTANDAO
A jetBlue pilot flipped out Tuesday on a flight from New York to Las Vegas, running up and down the aisle raving about terrorists and bombs after his...
jamani ni takriban wiki sasa line yangu ya voda inanisumbua, naweza ongeza vocha labda ya 2000 nikiongea ikibaki 500 simu inakata nikijaribu kupiga tena inaniambia salio halitoshi, nikikaa nusu...
Taasisi ya Mafunzo ya Sheria kwa Vitendo ya Tanzania haitendi haki.Taasisi hii ambayo hutoa mafunzo ya Uwakili kwa Wanasheria,imekaa kimya kutoa ratiba ya mitihani ya marudio(Supplementary Exams)...
Wana JF, Kuna milipuko kama nane imetokea eneo la Kigamboni Dar. Mimi nipo mtaa wa Samora naona wingu kubwa la moshi eneo la Kigamboni. Haijafahamika kama yanatokea eneo gani kule Kigamboni...
Kwema, dah jamani nimepiti Mwenge leo jioni nimekuta kituko cha mwaka.
Dada amefungasha kwelikweli (sikumpiga picha)sababu za usalama.
Amefungasha kiasi kwamba anashindwa kutembea vizuri...
Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi imetangaza majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha tano, huku idadi yao ikishuka kwa asilimia 13.34 ikilinganishwa na mwaka jana. Akitangaza...
BUS LA SIMBA VIDEO KUTOKA ARUSHA KWENDA TANGA LIMEPATA AJALI MCHANA HUU HAPA MKUMBARA,LIMEACHA BARABARA NA KUINGIA KICHAKANI/PORINI.
KATI YA ABIRIA WOTE 67 NA DEREVA,WAKIWEMO WAZUNGU...
Jana nilikuwepo Mahakama ya Wilaya ya Temeke kuendelea na wajibu wangu wa kuwawakilisha wateja wangu kwenye mashauri yao.Mahakimu,waendesha mashtaka,makarani,askari polisi na magereza,watuhumiwa...
Habari za kuaminika ni Kwamba hospitali ya Taifa muhimbili Imetoa Mpya nyingine kwa kuwakabidhi wafiwa maiti ya Muhindi badala ya Mswahili mwenzao. Maiti hiyo iligundulika kuwa siyo yenyewe...
KILIMO kina nafasi kubwa katika kupunguza umaskini, hasa kwa nchi maskini kama Tanzania, ambayo idadi kubwa ya watu wake hutegemea kilimo katika kuendesha maisha yao ya kila siku.
Kuongezeka kwa...