Law school of tanzania tendeni haki kwa hawa... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Law school of tanzania tendeni haki kwa hawa...

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by VUTA-NKUVUTE, Mar 22, 2012.

 1. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #1
  Mar 22, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,869
  Likes Received: 6,608
  Trophy Points: 280
  Taasisi ya Mafunzo ya Sheria kwa Vitendo ya Tanzania haitendi haki.Taasisi hii ambayo hutoa mafunzo ya Uwakili kwa Wanasheria,imekaa kimya kutoa ratiba ya mitihani ya marudio(Supplementary Exams) kwa wanafunzi wao.Wengi wa wanafunzi hao wana mtihani mmoja au miwili au mitatu.Bila ya kufaulu mitihani yote,wahitimu hawawezi kuapishwa kuwa Mawakili.

  Mwanzoni,Taasisi hii ilitoa taarifa kuwa ratiba ingetolewa kabla ya Februari.Februari ikapita.Ukimya ukafuata.Sasa wanafunzi wanaohusika na mitihani ya marudio hawajui kinachoendelea huku muda ukizidi kuyoyoma.

  Law School kuweni waungwana...
   
 2. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #2
  Mar 28, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,869
  Likes Received: 6,608
  Trophy Points: 280
  Kohoti ya Kumi nayo imeshaanza mitihani yao..
   
Loading...