Wanafundishwa kupinga dini na si udini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanafundishwa kupinga dini na si udini

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by William Mshumbusi, Mar 28, 2012.

 1. William Mshumbusi

  William Mshumbusi JF-Expert Member

  #1
  Mar 28, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 874
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  TANZANIA TARATIBU IMEANZA KUINGIZIWA siasa za kibaguzi. Ubaguzi wa kimatabaka kama udini na ukabila. Chuki za ukabila zilianza kupandikizwa zidi ya baadhi ya vyama. Kwa bahati mbaya taifa tayari linawatu wengi wasiojua ata rugha za wazazi wao. Tumejengewa utani wa kabila na kabila na hakuna chuki za kikabila. Siasa hizo hazikufua dafu. Harakati za kugawa wananchi ili wasione shida zao na walumbane juu ya tofauti ndogo za kiimani zikaanza tena. Viongozi wanapinga dini na si udini. Hii ni hatari! Vipi udini! Viongozi walioita chadema kinamfumo kristo kwa hoja ya idadi ya viongozi wake vipi walishindwa kusema CUF ina mfumo wa kieslamu kwa hoja kama hiyo?
  Jibu hawa wanapinga dini na si udini?.
  Je ni kweli kuwa hawa hawautaki udini.
  Vipi dini ya mtu inaweza kusaidia taifa kuendelea.
  Vipi dini itasaidia maendeleo ya watu wa dini yake? Au aibe akachangie alambee kanisani? Je akifanya hivyo waumini na kanisa watabarikiwa au kupata rahana kwa hilo. Wajinga hawajui. Tena wanahisi kuwa wanajua. Viongozi wengi wa siasa wengi HAWANA DINI ila wanajenga udini. Vip mwizi wa kura akawa mwislamu au mkristu safi. Vipi mtoa rusha ili achaguliwe awe mwesilamu safi. Mwongo Mbinafi na mshilikina a awe mwislamu safi. Ufike wakati wa ukweli adui wa mwislamu si mkristu. Na adui wa mkristo si mwisalamu safi. Wanafiki wasitake kutuchonganisha kwani adui wa mwislamu na mkristu ni ujinga. Nahuu unafanya masikini tujengewe matabaka. Adui wa pili ni umasikini na maradhi na ufisadi. Tukipambana na hayo tutaendelea kwa pamoja. Waulize ata mashehe wanaojua misaafu. Katiba ya marca iliyoandikwa wakati wa mtume ilitoa haki sawa kwa watu wa dini zote na kusisitiza ushirikiano. Ona Nigeria waliopandikizwa udini wanauana na waliojiwapandikiza udini wanawatawala. Nigeria kuna ukabila pia. Mimi nasema ni dhambi kwa mkristu kuchagua mkristu tu na kumwacha mwislamu safi. Tufumbue macho tuone. Tupinge udini na si dini. Kiongozi asiyetufaa tusimtete kwasababu ya dini yake. Dini limekua pazia la maovu. KWA CHADEMA ZITO HAWAFAI SI KWASABABU YA DINI YAKE BALI HAELEWEKI. Atawalipukia mda umeenda mshindwe kujijenga upya. AU MBOWE ULISHAKULANAE DILI? Mbona mnamwangalia tu. Anachafua mnazoa tu mnatulia. Kama ni dini yupo Prf Abdala Safari na wengine wenge wanaweza kumrithi. Viongozi wa dini nafasi yenu ni kubwa ya kuwaunganisha watu kupigania haki zao na kuwapa moyo. Nyie sio wanasiasa lakini historia inaonesha hivyo ata wakati wa kupigania uhuru. UNAKUMBUKA "CHURCH MOVMENT" pia vyama vya wafanyakazi vinanafasi hiyo kama ilivyokuwa kwa T.A.A KUPIGANIA HAKI SI UDINI. "mdini hana dini" unajua kwanini niulize
   
Loading...