Serikali yatangaza waliochaguliwa kidato cha tano | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Serikali yatangaza waliochaguliwa kidato cha tano

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kimbori, Mar 28, 2012.

 1. Kimbori

  Kimbori JF-Expert Member

  #1
  Mar 28, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 2,733
  Likes Received: 356
  Trophy Points: 180
  Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi imetangaza majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha tano, huku idadi yao ikishuka kwa asilimia 13.34 ikilinganishwa na mwaka jana. Akitangaza majina hayo Dar es salaam jana, Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Philipo Mulugo alisema kutokana na hali hiyo, shule nyingi hasa zinazochukua mikondo ya sanaa na uchumi, zimekosa idadi ya wanafunzi kama ilivyotakiwa.
   
 2. Babuu blessed

  Babuu blessed JF-Expert Member

  #2
  Mar 28, 2012
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 1,340
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  Taja namba kamili mkuu ukisema 13% imeshuka inakuwa utata kwa sababu idadi ya mwaka jana aujaitaja.
   
 3. Kimbori

  Kimbori JF-Expert Member

  #3
  Mar 28, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 2,733
  Likes Received: 356
  Trophy Points: 180
  Mulogo alisema "Ufaulu huu umepunguza idadi ya waliochaguliwa kidato cha tano na vyuo vya ufundi kutoka wanafunzi 36, 366 mwaka 2011 mpaka 31, 516 mwaka 2012. Huu ni upungufu wa wanafunzi 4, 850 sawa na asilimia 13.34"
   
Loading...