Captain john komba mzee toti yupo wapi na anafanya nini?mtujuze mnao jua aliko | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Captain john komba mzee toti yupo wapi na anafanya nini?mtujuze mnao jua aliko

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by MANGUNGO, Mar 27, 2012.

 1. MANGUNGO

  MANGUNGO JF-Expert Member

  #1
  Mar 27, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 1,538
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 133
  Arumeru tangu kampeni huyu mzee wa mipasho simuoni hata kumsikia!mzima kweli!hemu wana JF tujulishane aliko!sio kawaida!
   
 2. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #2
  Mar 27, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Chief mangungo si anumwa miguu huyo mtu? Presha inapanda pressure inashuka!!
   
 3. GIB

  GIB JF-Expert Member

  #3
  Mar 27, 2012
  Joined: Mar 2, 2012
  Messages: 337
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nimemuona kama mara mbili hivi na magongo yake sijui naye kavunjwa mguu na mke wake?
   
 4. m

  mashambani kwao JF-Expert Member

  #4
  Mar 27, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 371
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  yupo Arumeru hana mpango na jimbo lake la mbinga magharibi.
   
 5. m

  mashambani kwao JF-Expert Member

  #5
  Mar 27, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 371
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  yupo Arumeru hana mpango na jimbo lake la mbinga magharib,halafu ameitwa na kaka yake stivin wasira..
   
 6. mpinga shetani

  mpinga shetani JF-Expert Member

  #6
  Mar 27, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 3,268
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  mbona yuko full Meru?
   
 7. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #7
  Mar 27, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  lori la tot limekuwa mzigo arumeru.linazomewa kila linapopita.
   
 8. Sema Chilo

  Sema Chilo JF-Expert Member

  #8
  Mar 28, 2012
  Joined: Mar 24, 2012
  Messages: 324
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yupo huku meru anatukana tu chama chenye akili
   
 9. K

  Kidogo chetu JF-Expert Member

  #9
  Mar 28, 2012
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 1,382
  Likes Received: 772
  Trophy Points: 280
  mbona mnamtafuta komba mnataka kuolewa nae
   
 10. THE BIG SHOW

  THE BIG SHOW JF-Expert Member

  #10
  Mar 28, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 13,929
  Likes Received: 1,861
  Trophy Points: 280
  tunataka kumuoa yeye,,chama chake si tayari kishahalalisha huu mpango wa waziri mkuu wa uingereza??
   
 11. B

  Bobuk JF-Expert Member

  #11
  Mar 28, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 5,876
  Likes Received: 481
  Trophy Points: 180
  Yuko bize anatunga nyimbo za kumuimbia Sioi tarehe mosi April!
   
Loading...