Line ya vodacom inahela lakini inaniambia haina salio

Kima mdogo

JF-Expert Member
Sep 17, 2011
303
46
jamani ni takriban wiki sasa line yangu ya voda inanisumbua, naweza ongeza vocha labda ya 2000 nikiongea ikibaki 500 simu inakata nikijaribu kupiga tena inaniambia salio halitoshi, nikikaa nusu saa inakubali nikiongea kidogo inakata tena, jamani tatizo hili ni kwangu tu au na nyie mnalipata?
 
Hata mimi ilinitokea lakini sikumbuki kama ilikuwa TIGO au Voda.....je hilo salio siyo ile ya kukopa?
 
Back
Top Bottom