TRAAWU mkoa Kilimanjaro wakataa kuvaa tshirt zenye rangi ya CCM!

Hata mh rais huwa aongei na wazee wa mkoa wa kilimanjaro sijui kwann, or ni kwamba ana kwenda ktk mikoa ambayo wazee wake wengi ni maskini na pia hawana elimu
 
kampuni nyingi huwa zinajipendekeza kwa kupamba vitambaa vya rangi ya kijani na njano kwenye hafla zao..nchi hii imetekwa vibaya na udikteta wa ccm.
 
wazee nao butiku na wenzake wamesema ccm haina muda mrefu inakufa!!
 
Back
Top Bottom