Breaking news: Milipuko yatokea kigamboni

MULANGILA

Member
Mar 20, 2012
20
3
Wana JF, Kuna milipuko kama nane imetokea eneo la Kigamboni Dar. Mimi nipo mtaa wa Samora naona wingu kubwa la moshi eneo la Kigamboni. Haijafahamika kama yanatokea eneo gani kule Kigamboni. Mwenye taarifa zaidi atujuze.
 
Najua kule kuna kambi za jeshi ila sina uhakika kama wana stock kama za Gongola Mboto aka GOMS
 
Wana JF, Kuna milipuko kama nane imetokea eneo la Kigamboni Dar. Mimi nipo mtaa wa Samora naona wingu kubwa la moshi eneo la Kigamboni. Haijafahamika kama yanatokea eneo gani kule Kigamboni. Mwenye taarifa zaidi atujuze.

hata usihofu nilikuwa dirishani wakati mlipuko ikitokea hivyo nimeona vizuri, ni ktk kambi ile ya jeshi inayotazamana na bandari. Mara nyingi mizinga hupigwa pale kama kuna matukio yanayoruhusu kufanyika kwa milipuko kama hiyo mjini. kama vile kupokea wanamaji toka nje ya nchi, n.k
 
Duu imbombo ngafu sina ndugu k/gmboni ningeuliza,isije ikawa kambi ya mzinga au navy zimelipuka!!
 
du, afadhali Danni umenipoza moyo, usitake kuadasiwa kutana na huo muziki hauna staili ya kucheza
 
Duh! Nilisoma tangazo kuwa yatalipuliwa mafataki lakini ni kuanzia saa 1 jioni leo, ngoja tusikie nn kinaendelea
 
Wana JF, Kuna milipuko kama nane imetokea eneo la Kigamboni Dar. Mimi nipo mtaa wa Samora naona wingu kubwa la moshi eneo la Kigamboni. Haijafahamika kama yanatokea eneo gani kule Kigamboni. Mwenye taarifa zaidi atujuze.

Kombora moja linaweza tua hapo kwa magogoni kwa JK au kakimbia?
 
Kweli kumetokea milipuko ila nimepata taarifa rasmi kuwa ilikuwa ni mambo ya kawaida ya kijeshi. Walikuwa na mgeni pale kwenye kikosi cha jeshi ambaye alistahiki kupewa military salute ya gunshots!

Babu DC!!
 
Back
Top Bottom