Wateja wa umeme TANESCO tu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wateja wa umeme TANESCO tu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Gwaje, Mar 28, 2012.

 1. Gwaje

  Gwaje JF-Expert Member

  #1
  Mar 28, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 268
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  MKURUGENZI Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), William Mhando, amesema ingawa suala la kupatiwa umeme lipo kwenye stahili za mkataba wake, hawezi kubishana na uamuzi wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Mashirika ya Umma (POAC) wa kuondoa jenereta nyumbani kwake.

  Akizungumza kufuatia agizo la POAC kuondoa jenereta hiyo nyumbani kwake jana, ili aonje uchungu wa kukatika kwa umeme, Mhando alisema alishtushwa na hatua hiyo kwa sababu ni suala la mkataba, lakini hawezi kubishana na kamati.

  “Mkataba ninao jana (juzi) nilishtuka kuhusu agizo hilo kwa sababu niliajiriwa na bodi na mwenyekiti wangu alikuwapo tutakaa tuangalie, lakini siwezi kupingana na maagizo ya kamati,” alisema Mhando.
  je wewe mteja wa tanesco unao mkataba wa huduma na tanesco? mkataba wako unaruhusu ukatiwe umeme hovyohovyo, mbona hujawahi lalamika? Au wewe ni *****?
   
 2. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #2
  Mar 28, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,020
  Likes Received: 5,190
  Trophy Points: 280
  :thinking:
   
 3. jchofachogenda

  jchofachogenda JF-Expert Member

  #3
  Mar 28, 2012
  Joined: Jan 8, 2012
  Messages: 493
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Kumbe mkurugenzi wa Tanesco amewekewa jenereta nyumbani kwake na bodi ya Tanesco?tutapata mgao mpake basi,kumbuka waswahili walisema ashibae hamjui mwenye njaa.
   
 4. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #4
  Mar 28, 2012
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,486
  Likes Received: 1,850
  Trophy Points: 280
  Muendelezo wa mikataba mibovu ndio unatuangamiza watanzania!ina maana yeye anajua fika hawezi kutupa umeme muda wote?
   
Loading...