SATA+SALL=SLAA.Just simple calculation | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

SATA+SALL=SLAA.Just simple calculation

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Sunguratope, Mar 27, 2012.

 1. Sunguratope

  Sunguratope Senior Member

  #1
  Mar 27, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 107
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 60
  Nimekaa nikawaza, nikaona mambo yanavyoenda naamini kabisa 2015 huyu jamaa lazma ataingia madarakani,Mbowe Zito,na wengineo naamini watakuwaniwashauri wakaribu.Kama ulikuwepo kwenye fundraising ya CDM au kupitia startv utakubaliana nami kuwa anauwezo wa kuongea kuhamasisha, na hata kutawala.Mabadiliko ya kweli haya letwi na aliyeshiba yana letwa na mwenye njaa ya mabadiliko kama Slaa.  SIOI HOI NASSARI HAI
   
 2. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #2
  Mar 27, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Sioi mbona ameoa au mzee sumari alijua mwanae si rizki ndio maana akampa jina hilo?

  Vote for Dr Slaa 2015
   
 3. RICH OIL SHEIKH

  RICH OIL SHEIKH JF-Expert Member

  #3
  Mar 27, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 882
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Hivi kina sata nao ni waasi wa church au?
   
 4. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #4
  Mar 27, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,531
  Likes Received: 884
  Trophy Points: 280
  umeolewa?
   
Loading...