Agongwa na Gari, Akiwakimbia Polisi

alexander paulo

JF-Expert Member
Dec 21, 2011
492
155
mfanyabiashara mmoja wa biashara ndogondogo eneo la ubungo riverside amegongwa na gari baada ya mapigano kati ya polisi na wafanyabiashara wa eneo hilo na yasemekana kafarik,na mtoto mdogo kapigwa na polisi wakati wa mapambano hayo
 
Ahsante kwa taarifa mkuu!
Tuwekee na picha ya libeneke jenyewe.
 
Aibu, does people know mtu akifa jamani Ndo Kwisha na Ndo history yake yaishia hapo? Jamani kifo ni kitu kikubwa!
 
Polisi wa tanzania hawajui kutunza amani na usalama wa raia nafikiri kwa sasa wanaongoza kuua watu wema, kuliko hata majambazi wanavyoua raia
 
kwani Polisi kazi yao kuua au kulinda maisha ya raia?
Ndio upuuzi wa katiba yetu raisi kumchagua IGP ambaye ni shemeji yake.. Sipendi kuona raia mwema yeyote akipoteza uhai kwa kupigwa risasi otherwise awe ni jambazi....
 
Jakaya Kikwete ameiachia nchi inajiendea endea ovyo, moja ya sababu kubwa ni kuwateua ndugu na maswaiba wake nafasi nyeti. Hivi shemeji yako IGP Mwema unaweza kumpigia simu kum blast anavyoendesha polisi wakati dada yake umemweka ndani, au sijui dada yako jamaa kamzuia ndani?
 
Back
Top Bottom