JambaziSugu
JF-Expert Member
- Mar 28, 2012
- 245
- 210
Habari zenu wana JF. Poleni kwa msiba mzito uliotukumba. Mimi ni mfuatiliaji wa blogs mbalimbali. Shida yangu ni kwamba kila nikitembelea blog naishia kusoma post na comments za watu. Nikijaribu kucomment kupitia simu yangu kama 'anonymous' wananaandika,"your comment will be visible after approval" then haionekani. Kwa yeyote anayefahamu namna ya kucomment anijuze.