Uhuni huu wa clouds fm! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uhuni huu wa clouds fm!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by KYALOSANGI, Apr 7, 2012.

 1. KYALOSANGI

  KYALOSANGI JF-Expert Member

  #1
  Apr 7, 2012
  Joined: Jan 21, 2011
  Messages: 1,898
  Likes Received: 473
  Trophy Points: 180
  Jana nilikuwa nafuatilia kipindi cha michezo cha clouds FM ambao walikuwa wanatoa updates za mechi ya Simba na ENTENTE!
  Nilisikitishwa na namna watangazaji walivyokuwa wanashangilia Simba ilivyokuwa inafungwa.Nikajiuliza hivi inakuwaje Redio inayotangazia umma inakuwa na watngazaji wa aina ile !Hatuwawazii kuichukia Simba simba laini kama public entity wanatakiwa kuwa fare! Kilinichonishangaza na kuhoji ufahamu wao kuhusu mashidano hayo ni kutokuwa na habari kuwa simba ilikuwa nafasi kubwa ya kufunga bao moja na kusonga mbele na ndicho kilichotokea ....!ACHENI UJINGA WA KUTUKANA NA BAADAYE MANAIBIKA ......pUMBAVU SNA MNAKUWA KAMA HAMWAJUI SIMBA BANA
   
 2. B

  BLB JF-Expert Member

  #2
  Apr 7, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 395
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  hiyo redio ni shenzi kabisa
   
 3. Mshuza2

  Mshuza2 JF-Expert Member

  #3
  Apr 7, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 4,119
  Likes Received: 1,746
  Trophy Points: 280
  Mkuu uko sawa! mimi pia kwa bahati nzuri nilisikiliza matangazo yao,nilishangazwa pia,Shafi na wenzake wamedhihirisha Uyanga wao! lakini kwa staili ile soka letu litabaki nyuma milele!
   
 4. m

  mzee wa busara Senior Member

  #4
  Apr 7, 2012
  Joined: Aug 13, 2011
  Messages: 161
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Mi pia niliwasikiliza na kushangazwa na unazi wa kejeri ulioonyeshwa na kina Shaffi,Lwambano na mbwiga,wachambuzi na watangazaji wa namna hii ni tatizo kwa maendeleo ya soka la Tanzania.
   
 5. RasJah

  RasJah JF-Expert Member

  #5
  Apr 7, 2012
  Joined: Nov 5, 2009
  Messages: 697
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  eti simba kama chupa ya chai.. ilikoingilia ndio inakotokea huyu mtu mbwiga ana mdomo mchafu sana.. shenz kbs
   
 6. U

  Ubongo Silaha Senior Member

  #6
  Apr 7, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 140
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  At least wamekula maneno yao!!! Simba imesonga mbele
  Ila kama ulivyosema hao ndio aina ya wachambuzi wa soka tulionao ambao kwa bahati mbaya watumia hisia kuchambua badala ya ubongo
   
 7. y

  ymalago Member

  #7
  Apr 7, 2012
  Joined: Aug 26, 2009
  Messages: 57
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu sidhani kama uko sahihi kuhusu hilo,jamaa walikuwa wanachambua tu kawaida,labda ushabiki umekuzidia,ikumbukwe pia kwa simba kusonga mbele wao wanafaidika kwa kampuni yao kusimamia michezo ya simba hapa dare salaam,hivyo hawawezi fanya hivyo period!
   
 8. M

  Mahumanga Member

  #8
  Apr 7, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  We usiwe kama hutumii akili ni wazi kama ulifatilia michezo extra walikejeli sana na kufurahia simba kufungwa na walifikia hatua kusema hata kabla ya mpira kuisha kuwa simba hawana cha kufanya, nakuanza kusema kufa kafa baba yako we nani usife. Bahati nzuri wote waliumbunga pumbavu zao. Acha ushabiki wa kijinga.
   
 9. S

  Simbiligunga New Member

  #9
  Apr 7, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Ni kwel kaka jana jamaa kabisa walionesha kufurahia simba kufungwa hasa huyo mbwiga lakin mungu akawaumbua
   
 10. B

  Baba Ludovick Member

  #10
  Apr 7, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kuna jamaa aliwasms na akawaambia wao ni yanga na wanafurahia simba kufungwa wakakana na kusema wao hawako upande wowote lkn nikawanajiuliza hata kama hawako timu yoyote iweje wakose moyo wa UTAIFA na kuiponda Simba kias kile huku wakiongozwa na furaha na vicheko na maneno ya kejeli.Nilishangazwa sana kitendo kile ukizingatia Clouds fm ni redio station kubwa tu nchini.ALL IN ALL WE SAY CONGRATULATION 2 SIMBA!!
   
 11. Cynic

  Cynic JF-Expert Member

  #11
  Apr 7, 2012
  Joined: Jan 5, 2009
  Messages: 5,154
  Likes Received: 628
  Trophy Points: 280
  Wachambuzu uchwara! Hawana tofauti na wale walionunua jezi za ESS wakati wa mechi ya awali Dar
   
 12. K

  Kalyosi Member

  #12
  Apr 7, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Inawakera na rekodi kimataifa ulinganisha n timu ya chama!
   
 13. Big One

  Big One JF-Expert Member

  #13
  Apr 7, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 759
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  we mtu anaitwa mbwiga we huon huyo mtu sio mzima
   
 14. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #14
  Apr 7, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  mmmmhhhh kweli kabisa mkuu..
   
 15. Kennedy

  Kennedy JF-Expert Member

  #15
  Apr 7, 2012
  Joined: Dec 28, 2011
  Messages: 11,360
  Likes Received: 2,989
  Trophy Points: 280
  Ada ya mja hunena kwa muungwana ni vitenda. Ndiyo hata JK aliwaambia katika utoaji wa tuzo mapenzi ya timu zao wasiyaonyeshe ktk redio au gazeti ambayo hayafumbamani na chama. Sasa neno kama SIMBA ni kama chupa ya chai ipoingia ndipo itakapotokea. SIMBA imewakilisha Taifa na si klabu nadhani ni wachambuzi wanakula ugoro kabla ya kipindi.
   
 16. m

  matangarara Member

  #16
  Apr 7, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mbwiga ni mbwiga tu!!!!!!
   
 17. THK DJAYZZ

  THK DJAYZZ JF-Expert Member

  #17
  Apr 8, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Searching...
   
 18. NGUZO

  NGUZO JF-Expert Member

  #18
  Apr 8, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 253
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  wameaibika
   
 19. M

  Makupa JF-Expert Member

  #19
  Apr 8, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,742
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Clouds Radio ni janga kwa vijana wa kitanzania
   
 20. Ally Kombo

  Ally Kombo Verified User

  #20
  Apr 8, 2012
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 11,440
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  hivi ukiipenda Simba, wakati huo huo Yanga, Azam, Polisi sasa utaenda uwanjani kufanya nini ? Kumbuka jamaa walimtuma mtangazaji Jeff ili kufanya coverage ya hiyo mechi !
   
Loading...