Mapendekezo kutokana na kesi ya LEMA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mapendekezo kutokana na kesi ya LEMA

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Bajabiri, Apr 8, 2012.

 1. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #1
  Apr 8, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Natoa pendekezo kwa TUME YA TAIFA YA UCHAGUZ(NEC) kwambani jambo la busara kurekodi picha za video,picha hzo zitasaidia sana kuweza kupata ushahidi pindi linapoibuka suala la kukata rufani kwa sababu ya kukiuka kanun za sheria za uchaguz inakua rahis,
  hili lianze na uchaguz mdogo wa arusha,
   
Loading...