Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Basi La MTL lilikuwa likitoka Mwanza kwenda Dar Limepinduka kuna majeruhi na hakuna taarifa za vifo source R.f.a
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Kitendo cha professor Baregu kutokutumia biblia au Quran wakati wa kuapishwa sioni kama ni tafsiri ya kuwa mpagani. 1,Naona fasihi yakutokuwa upande wowote wa dini wakati wa mchakato. wa katiba...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Nadhani hili ni tatizo kubwa kwa Watanzania. Nipo napitia applications za kazi nakutana na changamoto nyingi. Iliyoniacha hoi ni hii ya jamaa kausema moja ya kazi zake ni kuwa signatory wa cheki...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mwenyekit wa uvccm arusha amejitoa kwenye chama. Haijaelezwa 7bu. Sosi ukurasa wa fb wa mwananch
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mimi ni mshabiki mzuri sana kazi nzuri za sanaa. Nilimkubali Marehemu Kanumba katika jitijada zake katika kuiendeleza Tasnia ya Filamu za kibongo. Kibinadamu, inasikitisha kwa taa ya kijana kama...
9 Reactions
26 Replies
7K Views
Kuna ubomoaji unaendelea. Nilimuuliza jamaa mmoja kujua kwanini amebomoa na kurudisha nyuma sehemu yake ya biashara, akasema wamepewa notice ya two weeks, na kusema wameambiwa kuna mhisani...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu sujui niwasalimieje mida hii. Saa hii maana naona uvivu hata kuangalia saa. Ndo nimapaki homu mida hii kutoka "project's night site" na leo project team yetu tulitembelea Kisuma Night Club...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ukiacha maajabu ya ziwa Ngozi pale Mporoto Mbeya, vilevile kuna maajabu ya mto unaoishia kwenye shimo. Mto huu uko kijiji cha Shemwengo ukishatoka Tazama Pipeline kwenye mteremko unapotoka Mbeya...
1 Reactions
73 Replies
16K Views
Ndugu zangu wana jamii,mimi ni Mtanzania ambaye nasikitishwa sana habari ya kila siku kwa Watanzania kunyanyasika katika nchi yetu,Habari hii ni kutoka Mirerani Mkoa wa Manyara Wilaya ya Simanjiro...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Mimi napata tabu sana kupata majibu sahihi kwa kumuona kila mahari palipo na mikusanyiko ya watanzania Mhe. Edward Lowasa hata ambapo mimi sioni kama anatakiwa awepo na kupewa fursa ya kuongea. Je...
1 Reactions
20 Replies
11K Views
wadau nihabarisheni, ni kwasababu zipi Bunge lazima likianza session linaanza J4?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Rais jacob zuma wa afrika kusini anataraji kuoa mke wa sita wiki ijayo.(source t.b.c taarifa ya habari ya leo)hapo vipi wana jf.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
jaman hapa naona matangazo ya tusker project fame, ni kwamba imeanza ama ni marudio? STAR TV
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wana JF kiukweli hawa BAYPORT hawana huruma kabisa hususani kwa wazazi wetu wasioelewa nini maana ya mkataba, BAYPORT wamemrubuni mzazi wangu(MWANAHEWA HASSAN MTOLERA) ambaye ni mwalimu pale...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wamejaa hekima kuliko wazee wote wa Tanzania Ni wasikivu hata raisi wetu anajivunia Sio wabishi kila wanachoambia wanasikia Ni wataratibu hata ukiwatukana watakushangilia Watakupigia makofi bila...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Salaams Wanabodi, Naamini watu wengi waliona Mazishi ya Kanumba kwa kushuhudia umati mkubwa wa watu ulioambatana na vurugu na hatimaye zoezi la wananchi kuaga mpendwa wao kukwama.Huku likiwa...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Wakati ikiwa ni bayana kuwa maafisaa wapatao (30) therathini wa Idara ya Forodha/yaani KAZI TAMU/Customs wamekabidhiwa barua za kusudio la kufutwa kazi, bila shaka inavuta zaidi kutaka kujua kuna...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
-Overpopulation,watu wengi hawana la kufanya! -Uchafu ,hasa manyunyu yakidodondoka. -Wachina wamemwaga cheap pikipiki,nauliza Police Traffic kwa nini mnaruhu watu kuendesha pikipiki bila...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nawasilisha ndugu zangu wana jamii F kwa fraha yangu niliyo nayo kuwaandikia leo kwenu hii ikidhihilisha ni kwa jinsi gani nimeguswa na hii JF Ni kwa kipindi kifupi nikimanisha kipindi kama cha...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ndg wanajf nakerwa na kuhuzunishwa jinsi gani idara ya uhamiaji Geita hawako makini. Mgodi wa dhahabu wa Geita (GGM) kila kukicha unaajiri wafanyakazi kutoka nje hasa kutoka ufilipino, ktk kampuni...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…