Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

:A S-confused1: mamma yangu!!!!??? Hebu sikia hii; mwekezaji analipia eka moja ya ardhi Tsh. 220 kwa mwaka. Imekaaje hii wana JF? Source: Bunge Jioni hii.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
picha za Rais na Ngeleja wakiwa malawi zimesambazwa hapa na kuibua mjadala mkubwa. Jf tuwe makini kuleta hapa habari za uongo? Ni kweli ngeleja kaonekana kwenye picha akiwa na Rais lakini...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habar zenyu wana JF. Inasemekana ktk cku za nyuma kunako tarehe 23/04/1983 jjni Dar maeneo ya Mwananyamara kilidondoka chombo kisicho julikana chenye kutoa mwanga mkal na kuunguza mandhari ya...
0 Reactions
1 Replies
990 Views
Wana jf nataka kufuatilia mjadala wa bunge kwenye radio zinazotangaza online,arushamambo naona kimya!nyingine ni ipi?
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Wandugu nimeona kushare hii Eye Contact For making contact and communicating with a person, effective eye contact is essential to our every day interaction with people, and also to those who want...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Wana jamv kwanza nawasalim aman ya mungu wetu iwe juu yenu,hivi Pr.Abdallah mbona kama kitambo sikumsikia mwenye habari kuhusu yeye na nafasi aliyonayo ndani ya CDM naomba an fafanunulie n sehem...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Viongozi wetu bado wanataka kutufanya Watanzania mazezeta tusioweza kujua wapi kulia na wapi kushoto. Kukuzwa kwa uzito wa Msiba wa Msanii kanumba ilikuwa ni moja ya Technique ya kuzima jambo...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Kuna njama za makusudi zinapangwa kuwanyima akina Zitto fursa ya kupeleka vote of no confidence hata kama sahihi 70 zitapatikana, na mdada wa mjengoni ameapa kusimama kinyume na hili na serikali...
2 Reactions
27 Replies
4K Views
Baada ya matukio ya watu kupingwa na kunyang'anywa mali zao kama simu na pesa na vibaka, wanachuo wa chuo hicho wanaoishi nje ya chuo wameanzisha operation za kuwasaka vibaka hao, Kwa taarifa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
​Habari zenu wana JamiiForum.. Naipenda sana hii platform maana kuna wataalam wa kila jambo. Langu leo ni moja tu? Naomba kujua Octane rating ya mafuta (PETROL) inayouzwa na vituo vya mafuta...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hapa Arusha maeneo ya Shangarai ukishapita daraja la mto Nduruma sio shwari, ni kwamba Wameru wamefunga barabara ya Moshi Arusha kwa kupanga mawe na askari wameshamwagwa, kwataarifa ni kwamba...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Akiongea kwa nguvu zote wakati wa kuchangia riport za kamati za kilimo na maliasili,Mh mbilinyi alisema amechoswa na wabunge magoigoi na kuendelea kusema kuwa amesikia wakitamba kuwa awatojiuzulu...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Jamani wana JF kwa tunavyoona kuna dalili kweli huyu ndugu Pinda kutema cheche kwani pakasasa sioni kinachoendelea minaona ni zilezile hadithi za sungura na fisi. Kama kuna anayefaham lolote ebu...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Kwa taarifa zilipo hapa jimbo la Magu mjini mkoani Mwanza ni kwamba mwenyekiti wa Bodi ya pamba wilayani Magu ambae pia ni mbunge wa jimbo la Magu mjini Bw. Festus Limbu, ambae pia aliwahi...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Dutch Prime Minister Mark Rutte will submit his government's resignation to Queen Beatrix today, reports say, paving the way for early elections. The government was plunged into crisis when Geert...
0 Reactions
0 Replies
777 Views
Yaani kila akitokea naibu waziri au waziri ukimuangalia amepooooza...mpaka basi. sasa tusubiri PM atasema nini...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Mh Speaker unatuchanganya,umechemka hapo ulipomtambulisha huyo aliyepata PHD kutoka china,kwanin usingesema amepata kutoka chuo kikuu cha xxx basi na sio amepata phd kutoka chuo kikuu xxx...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Bado anakula Bata malawi
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari wana Jf kama kesho kutakuwa hakuna mabadiliko yoyote ktk baraza la mawaziri ,wanainchi tutumie haki yetu kikatiba kuandamana kushinikiza mabadiliko.
3 Reactions
65 Replies
7K Views
Wana Jf's tokea mwanzo mwa wiki ya jana kumalizika jamii nzima ya watanzania macho na masikio wamekuwa wakijadili kuhusiana na utendaji wa waziri mkuu na mawaziri wake, lakini ninachotaka...
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…