Plan 'b' ya mpiganaji zitto hii hapa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Plan 'b' ya mpiganaji zitto hii hapa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Uliza_Bei, Apr 20, 2012.

 1. Uliza_Bei

  Uliza_Bei JF-Expert Member

  #1
  Apr 20, 2012
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 3,109
  Likes Received: 428
  Trophy Points: 180
  Kuna njama za makusudi zinapangwa kuwanyima akina Zitto fursa ya kupeleka vote of no confidence hata kama sahihi 70 zitapatikana, na mdada wa mjengoni ameapa kusimama kinyume na hili na serikali inamsaidia kuepuka aibu hii ambayo Mkulu hataki sikia, anasema...'siwezi kushinikizwa mimi ndiye kiongozi'.

  Upande wa pili umeapa kuomba sahihi za wananchi nje ya mjengo kushinikiza kuondolewa kwa mawaziri vinara wa ufisadi waliotajwa kukwamisha jitihada za kuendeleza nchi hii.

  Wanasema 'rais hatuwezi kumuondoa atamaliza kipindi chake 2015 lakini akubali kubadili team yake ya viongozi kwa kuondoa wanaolalamikiwa' My take: Kushindwa kwa wabunge kutapelekea wananchi kukata tamaa na kukubali mambo yaende yalivyo. 'TANZANIA KWANZA' KWANZA'
   
 2. Mkomamanga

  Mkomamanga JF-Expert Member

  #2
  Apr 20, 2012
  Joined: Dec 9, 2011
  Messages: 818
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  Wadadavuzi wa sheria, tunaomba tujue kwa mtindo wa sahihi wananchi wanahitaji sahihi ngapi na kwa njia ipi ili waziri ajiuzuru? tunaomba mwongozo wa spika katika JF
   
 3. d

  dmayola JF-Expert Member

  #3
  Apr 20, 2012
  Joined: Oct 25, 2011
  Messages: 561
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Ni kweli tujue ni jinsi gani wananchi wanaweza kushiriki ili kukamilisha hili zoezi
   
 4. H

  Haika JF-Expert Member

  #4
  Apr 20, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,318
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  kama wanahitajika wananchi signature yangu ni ya kwanza.
   
 5. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #5
  Apr 20, 2012
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Zitto kichwa kitakuwa kinauma:doh::doh: ndo tatizo la kukurupukia hoja ambazo hatoweza
   
 6. t

  tisa desemba JF-Expert Member

  #6
  Apr 20, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 439
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  tumekushtukia faiza foxx with new id
   
 7. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #7
  Apr 20, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  hakina hata wazuie vipi mwisho wa ccm umefika na wajiandae kupopolewa mawe na wananchi popote waendapo.
   
 8. chitambikwa

  chitambikwa JF-Expert Member

  #8
  Apr 20, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 3,940
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Mkulo ndo ankuweka mjini
   
 9. Mazingira

  Mazingira JF-Expert Member

  #9
  Apr 20, 2012
  Joined: May 31, 2009
  Messages: 1,837
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Dada unafaidika na nini kusimama upande wa wezi wa mali za umma zinazosababisha nchi isiendelee huku Watanzania wenzako wakitaabika kwa maisha magumu?
   
 10. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #10
  Apr 20, 2012
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Leta ushahidi wa wizi

  Hizi zote ni propaganda za magwanda lakini hazitafika kokote zitagonga na kurudi :playball::playball::playball::playball:
   
 11. Mtumishi Wetu

  Mtumishi Wetu JF-Expert Member

  #11
  Apr 20, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 4,986
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  Anaye umwa kichwa ni wewe unayejitahidi kuzima hoja ya kutokuwa na imani ana waziri Mkuu!!!! Inaonekama uko upande wa maghambas, mtajificha wapi mapambano ndio yamaeanza sasa kila kona hakuna kulala!!!!!

   
 12. m

  mikogo Senior Member

  #12
  Apr 20, 2012
  Joined: Jul 24, 2011
  Messages: 175
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  amani amani, wanainchi wanafuatilia kwa karibu mambo yalivyo mjengoni
  hujuma dhidi ya wapambanaji zitakutana na ghadhabu ya wapiga kura na wanainchi.
  iko siku waziri atapopolewa kama kibaka.
  tutafika huko muda si mrefu.
   
 13. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #13
  Apr 20, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,149
  Likes Received: 2,109
  Trophy Points: 280
  plan 'b' iko wapi?
   
 14. Mazingira

  Mazingira JF-Expert Member

  #14
  Apr 20, 2012
  Joined: May 31, 2009
  Messages: 1,837
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Kwahiyo hizo ripoti za ukaguzi za CAG zenye ushahidi wa huo wizi zimefanywa na wakaguzi toka CHADEMA?
   
 15. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #15
  Apr 20, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,528
  Likes Received: 882
  Trophy Points: 280
  Sahau wabunge kukata tamaa:A S 41:
   
 16. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #16
  Apr 20, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,798
  Likes Received: 36,830
  Trophy Points: 280

  Kichwa hakiumi kamwe nakuambia, hii ni hatua ya umuhimu yenye uthubutu wa hali ya juu hasa ukizingatia idadi ya wapinzani bungeni, Zitto ni mbunge wa kipekee aliyeweza kuonyesha msimamo na kupima unafiki wa wabunge ambao wanalalamika bila vitendo,
  Baada ya hili tutatangaza list ya enemies of the society ili wananchi wagundue nani mnafiki na nani mtendaji na mtetezi wa wananchi kwa vitendo pale bungeni.
  Zitto is our Hero.
   
 17. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #17
  Apr 20, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,798
  Likes Received: 36,830
  Trophy Points: 280
  Jifunze tabia ya kujisomea ili uwe na munkari wa kutafuta reports zilizowasilishwa na kuungwa mkono na wabunge wote jana, pamoja na report ya CAG,
  otherwise umejivua ufahamu coz kazi ya kumtetea shetani ni kazi ngumu mno.
   
 18. Innobwoy

  Innobwoy JF-Expert Member

  #18
  Apr 20, 2012
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 980
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 60
  kama sahihi zikifika 70 na bado wakazipuuza tutaomba muongozo wa sisi wananchi inatakiwa tupate sahihi ngapi ili tumuondoe raisi ambacho kitakuwa ni kitu chema kwani baada ya Revolution tunafanya necessary evolution...:censored:
   
 19. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #19
  Apr 20, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  Endelea kuwadanganya wakubwa zako kuwa kila kitu ni Shwari. Tena ningependa kikwete akomae hasa na mkulo wake ili uozo uongezeke kupindukia ili HATA TAAHIRA AONE KUWA MABADILIKO YANAHITAJIKA.
   
 20. v

  vangiling'ombe Senior Member

  #20
  Apr 20, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 102
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tunaomba jina la huyo dada na CV mkuu. sasa niwakati wa kuwajibishana tu kwa kwenda mbele.
  Tunataka ku-create DATA BASE YA WANAFIKI, WASALITI ili 2015 tusipate taabu nao.
  Pamoja
   
Loading...