Wanachuo wa MKWAWA wageuka sungusungu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanachuo wa MKWAWA wageuka sungusungu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Muce, Apr 23, 2012.

 1. Muce

  Muce Senior Member

  #1
  Apr 23, 2012
  Joined: Dec 19, 2011
  Messages: 116
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Baada ya matukio ya watu kupingwa na kunyang'anywa mali zao kama simu na pesa na vibaka, wanachuo wa chuo hicho wanaoishi nje ya chuo wameanzisha operation za kuwasaka vibaka hao, Kwa taarifa nilizozipata kwa mmoja wa viongozi wa wanachuo hao wanaokaa nje ya chuo kuwa opration iliyofanyika jana usiku imefanikiwa kuwanasa baadhi ya vibaka hao na kuwasulubu vilivyo. Hata hivyo amesema operation hii itakuwa endelevu ili kumaliza kabisa matukio ya uporaji.
   
 2. S

  SENIOR PASTOR Member

  #2
  Apr 23, 2012
  Joined: Apr 19, 2012
  Messages: 27
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 5
  Joh:3:16: For God so loved the world, that he gave his only begotten Son, that whosoever believeth in him should not perish, but have everlasting life.

  Joh:15:7: If ye abide in me, and my words abide in you, ye shall ask what ye will, and it shall be done unto you.
   
 3. S

  Sometimes JF-Expert Member

  #3
  Apr 23, 2012
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 4,567
  Likes Received: 361
  Trophy Points: 180
  Safi sana. Ni ulinzi shirikishi!
   
 4. S

  Skype JF-Expert Member

  #4
  Apr 23, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 7,284
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 135
  Haya matukio ya kukwapuliwa simu na vitu vingine yamedum kwa miaka mi3 sasa, na hii hutokana na wanachuo kuishiwa pesa za kujikim. Vibaka waliowengi ni miongoni mwa wanachuo wenyewe. Ushahidi nimeupata kwa mwanachuo mmoja wa mwaka wa tatu hapo mkwawa ambaye kathibitisha kua baada ya msako mkali kufanyika iligundulika vibaka ni miongoni mwa wanachuo hao. Jamii ya wasomi inaelekea wapi?
   
 5. SR senior

  SR senior JF-Expert Member

  #5
  Apr 23, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 342
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  na ole wao wasiendelee, wanakijiji wa makanyagio hasa wale wavuta bangi wa maeneo hayo, akina mtoi wameahd kulipiza kisasi na woga wangu hasa ataadhibiwa asiyekuwemo kwa kuwa kpnd cha test kikichanganya watu huenda prepo hadi usiku wa manane na wengi wa wanachuo wanaish off campus hasa hapo makanyagio, na kinachonikera zaid hli jambo lina political influenc behind the scene kwa kuwa wanamuce wanaelekea kwny uchaguzi, wanafanya mambo kama sekondari walimu tunaotegemea wakawafundishe watoto wetu.....
   
Loading...