Watanzania wanavyoliwa kiulainiiiiiiiii!!!!!

Neuton I.

Member
Apr 10, 2012
16
3
:A S-confused1: mamma yangu!!!!??? Hebu sikia hii; mwekezaji analipia eka moja ya ardhi Tsh. 220 kwa mwaka. Imekaaje hii wana JF?
Source: Bunge Jioni hii.
 
huko mbarali wakulima wanalipa 100,000 kwa eka kutoka kwa mwekezaji inawezekana nae analipa hiyo 220 kwa eka, yaani baada ya uwekezaji anapiga dili za kichinga
 
seriously.....:doh: 220 Euros / Pound au USD? hii nchi ilishauzwa kitambo kwa those call themselves wawekezaji.
 
seriously.....:doh: 220 Euros / Pound au USD? hii nchi ilishauzwa kitambo kwa those call themselves wawekezaji.









tofauti yetu watanzania na mbwa koko ni ndogo sana.. mikwala mingi vitendo n.i.l aswa watu wa dar ccm wana majimbo manne then jamvini wanajifanya wapenda upinzani tunashindwa hata na wanavijiji but mds msinipe burn.
 
si bora wangepewa watanzania wakaendeleza wenyewe na kulipa hiyo hela?
kwa kweli lazima watu wanyongwe hapa,tumechoka
 
Hao mnaoita wawekezaji si wawekezaji bali makuadi wa watawala wenu waroho. Kimsingi, wako pale kusimamia wizi wa wakubwa ambao hawataki kujulikana. Kama watanzania tutaendelea kulalamika bila kuchukua hatua mujaraba kuna siku watoto wajukuu zetu watakojolea makaburi yetu na halitakuwa kosa hata kidogo.
 
Back
Top Bottom