CCM chama dume, mseme msiseme mawaziri wake hawatajiudhulu Ng'ooooo!!

Mchokozi

JF-Expert Member
Feb 9, 2012
215
29
Wana Jf's tokea mwanzo mwa wiki ya jana kumalizika jamii nzima ya watanzania macho na masikio wamekuwa wakijadili kuhusiana na utendaji wa waziri mkuu na mawaziri wake, lakini ninachotaka kuwaambia kuwa CCM ni chama dume kwa hiyo leo waziri mkuu ataahirisha Bunge bila ya waziri yoyote kati ya walituhumiwa na ufisadi kujiudhulu. Hata hoja ya Zotto itawekwa kapuni.... anayebisha aseme
 
Mi sibishi kwasababu siyo mgeni na CCM.
 
........waziri mkuu ataahirisha Bunge bila ya waziri yoyote kati ya walituhumiwa na ufisadi kujiudhulu. Hata hoja ya.......

Ebu rekebisha lugha. Sio KUJIUDHULU. Kiingereza tatitizo. Kiswahili pia tatizo. Ni matokeo ya serikali yako kutosomesha watu wake.
 
Wana Jf's tokea mwanzo mwa wiki ya jana kumalizika jamii nzima ya watanzania macho na masikio wamekuwa wakijadili kuhusiana na utendaji wa waziri mkuu na mawaziri wake, lakini ninachotaka kuwaambia kuwa CCM ni chama dume kwa hiyo leo waziri mkuu ataahirisha Bunge bila ya waziri yoyote kati ya walituhumiwa na ufisadi kujiudhulu. Hata hoja ya Zotto itawekwa kapuni.... anayebisha aseme

Siyo kitu cha kushangaza kama hata wizi wa waziwazi kama huo wanathubutu kusema ni tpepo wa kisia ni hatari sana
 
Time will tell, be calm brother!

Wana Jf's tokea mwanzo mwa wiki ya jana kumalizika jamii nzima ya watanzania macho na masikio wamekuwa wakijadili kuhusiana na utendaji wa waziri mkuu na mawaziri wake, lakini ninachotaka kuwaambia kuwa CCM ni chama dume kwa hiyo leo waziri mkuu ataahirisha Bunge bila ya waziri yoyote kati ya walituhumiwa na ufisadi kujiudhulu. Hata hoja ya Zotto itawekwa kapuni.... anayebisha aseme
 
Kidumu Chama Cha Mapinduzi.
.
"WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".
 
Mbona mkuu unawasiwasi kama unaoga nje, subiri mwana wa mkulima avuje bunge bila kuwawajibisha hao watuhumiwa ndio tujadili.
 
hata mi napenda wasijiuzuru waeendelee kuaharibu ili kufika 2015 wakione cha moto. maana ni uhakika watanzania tunaona kidumu chama cha majambaz!!!!!!!!!!!
 
Wana Jf's tokea mwanzo mwa wiki ya jana kumalizika jamii nzima ya watanzania macho na masikio wamekuwa wakijadili kuhusiana na utendaji wa waziri mkuu na mawaziri wake, lakini ninachotaka kuwaambia kuwa CCM ni chama dume kwa hiyo leo waziri mkuu ataahirisha Bunge bila ya waziri yoyote kati ya walituhumiwa na ufisadi kujiudhulu. Hata hoja ya Zotto itawekwa kapuni.... anayebisha aseme

nI KAWAIDA YENU KWANI MAKABRASHA YENU YOTE KWA SASA YAMEJAA 'PLAN B' BADALA YA KUTUMIA MIPANGO SAHIHI YA CHAMA
 
Huo udume au upumbavu? Mnafanya mambo kijinga halafu unasema chama dume, labda dume linalofilwa.
 
Suala hapa wala si kubishana tena ni busara na experience ndio vinatakiwa kutawala huu mjadala na mustakabali wa Taifa hili

Kama chama dume au jike sisi wananchi huku tunaona na tunajua;na haitusaidii chochote katika sintofahamu hii

Na yako majike mengi tu hapa juu ya sura ya dunia yamefanya mambo yenye maana kuliko mijanadume miiingi sana

They say......it is the content that counts!!!!!!
 
jmn miluzi mingi hupoteza mbwa xo hao wanojiita madumeeeeeee...................wanazd kuolewa tu jana umeona kilichotokea sengerema,alaf wimbo wa roma ndo unatumiwa kuwashitak ccm kwa wananchiii
 
wana jf's tokea mwanzo mwa wiki ya jana kumalizika jamii nzima ya watanzania macho na masikio wamekuwa wakijadili kuhusiana na utendaji wa waziri mkuu na mawaziri wake, lakini ninachotaka kuwaambia kuwa ccm ni chama dume kwa hiyo leo waziri mkuu ataahirisha bunge bila ya waziri yoyote kati ya walituhumiwa na ufisadi kujiudhulu. Hata hoja ya zotto itawekwa kapuni.... Anayebisha aseme

sasa wewe gamba dogo utanufaika vipi wasipo jiuzulu?
Si bora hizo pesa wange kupa ukaenda kujifunza kuandika. Maana wewe ni gamba lisilo jua kuandika! Soma nyakati
 
jmn miluzi mingi hupoteza mbwa xo hao wanojiita madumeeeeeee...................wanazd kuolewa tu jana umeona kilichotokea sengerema,alaf wimbo wa roma ndo unatumiwa kuwashitak ccm kwa wananchiii

liambie mkuu:a s 41:
 
Wana Jf's tokea mwanzo mwa wiki ya jana kumalizika jamii nzima ya watanzania macho na masikio wamekuwa wakijadili kuhusiana na utendaji wa waziri mkuu na mawaziri wake, lakini ninachotaka kuwaambia kuwa CCM ni chama dume kwa hiyo leo waziri mkuu ataahirisha Bunge bila ya waziri yoyote kati ya walituhumiwa na ufisadi kujiudhulu. Hata hoja ya Zotto itawekwa kapuni.... anayebisha aseme
Kutokujiuzulu kwao ndio kifo chenu 2015! Time will tell!
 
Back
Top Bottom