Leo katika histry

JayLL7.com

New Member
Apr 21, 2012
3
1
Habar zenyu wana JF. Inasemekana ktk cku za nyuma kunako tarehe 23/04/1983 jjni Dar maeneo ya Mwananyamara kilidondoka chombo kisicho julikana chenye kutoa mwanga mkal na kuunguza mandhari ya karibu na eneo. Et police ilifanya uchunguz na kusema kuwa kile n chombo cha angan ksicho fahamika. Plz mwenye kufaham kusu hz habar anijuze na mm.
 
Back
Top Bottom