MSAADA Wana JF !! Petrol OCTANE rating (RON) kwa Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

MSAADA Wana JF !! Petrol OCTANE rating (RON) kwa Tanzania

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by JayK, Apr 23, 2012.

 1. JayK

  JayK Member

  #1
  Apr 23, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 34
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  ​Habari zenu wana JamiiForum..
  Naipenda sana hii platform maana kuna wataalam wa kila jambo.
  Langu leo ni moja tu?
  Naomba kujua Octane rating ya mafuta (PETROL) inayouzwa na vituo vya mafuta hapa Tanzania.
  Specifically vituo vya Total, BP na Engine.
  Je ni 91 RON, 93, ama 95...
  tafadhali naomba Kuwakilisha!!!

  Regards
   
Loading...