Ni kwanini Msiba wa Kanumba ulishabikiwa sana na viongozi wa Serikali pamoja na Rais?

Amiliki

JF-Expert Member
May 6, 2011
2,085
1,004
Viongozi wetu bado wanataka kutufanya Watanzania mazezeta tusioweza kujua wapi kulia na wapi kushoto. Kukuzwa kwa uzito wa Msiba wa Msanii kanumba ilikuwa ni moja ya Technique ya kuzima jambo kubwa lililotokea ambalo lilikuwa ni kashfa kubwa ambayo ingeitikisa serikali.

Vyombo vya habari vingi vilikuwa pamoja na kutengeneza kipato kwa kuandika habari za Kanumba, bila ya kuelewa vilisaidia sana kuficha ukweli wa kilichokuwa kinaendelea na Serikali ilijitahidi sana kuupa uzito kwa Mawaziri wake kuwepo msibani ili Front pages ziwe na habari ya msiba wa Kanumba.
 
Viongozi wetu bado wanataka kutufanya Watanzania mazezeta tusioweza kujua wapi kulia na wapi kushoto. Kukuzwa kwa uzito wa Msiba wa Msanii kanumba ilikuwa ni moja ya Technique ya kuzima jambo kubwa lililotokea ambalo lilikuwa ni kashfa kubwa ambayo ingeitikisa serikali. Vyombo vya habari vingi vilikuwa pamoja na kutengeneza kipato kwa kuandika habari za Kanumba, bila ya kuelewa vilisaidia sana kuficha ukweli wa kilichokuwa kinaendelea na Serikali ilijitahidi sana kuupa uzito kwa Mawaziri wake kuwepo msibani ili Front pages ziwe na habari ya msiba wa Kanumba.

Kwa sababu ni Freemasons
 
Joh:3:16: For God so loved the world, that he gave his only begotten Son, that whosoever believeth in him should not perish, but have everlasting life.

Joh:15:7: If ye abide in me, and my words abide in you, ye shall ask what ye will, and it shall be done unto you.
 
Viongozi wetu bado wanataka kutufanya Watanzania mazezeta tusioweza kujua wapi kulia na wapi kushoto. Kukuzwa kwa uzito wa Msiba wa Msanii kanumba ilikuwa ni moja ya Technique ya kuzima jambo kubwa lililotokea ambalo lilikuwa ni kashfa kubwa ambayo ingeitikisa serikali.

Vyombo vya habari vingi vilikuwa pamoja na kutengeneza kipato kwa kuandika habari za Kanumba, bila ya kuelewa vilisaidia sana kuficha ukweli wa kilichokuwa kinaendelea na Serikali ilijitahidi sana kuupa uzito kwa Mawaziri wake kuwepo msibani ili Front pages ziwe na habari ya msiba wa Kanumba.

I can't wait, dont put your dreams in here try to be objective.
 
2juze basi hiyo kashfa,cuz ucpoweka wazi hapa jf utaweka wapi?jf we dare 2 talk open
 
SISEME SERIKALI ILISHABIKIA, SEMA LABDA ILISABABISHA MAUAJI HAYO ndio utaeleweka!
 
Kulikua na issue ya kutenguliwa kwa ubunge wa Mhe. Lema, sheria zilipindishwa ili kumuondoa Lema, na kama wakijipanga vizuri wanashinda kiulaini kwa rufaa, maana sheria iko wazi inasema mgombea aliyekashifiwa ndio anatakiwa afungue kesi na sio watu baki, jamaa wamefunika kombe mwanaharamu kapita ikaja Kanumba wakadandi kwa mbele kutupotezea
 
Hizo ni mbinu za kizamani sana na hii ni kwa sababu ccm ni chama kizee mno...watz wa leo sio wale w ndiyo mzee......tuanjua janja ya nyani
 
kulikua na issue ya kutenguliwa kwa ubunge wa mhe. Lema, sheria zilipindishwa ili kumuondoa lema, na kama wakijipanga vizuri wanashinda kiulaini kwa rufaa, maana sheria iko wazi inasema mgombea aliyekashifiwa ndio anatakiwa afungue kesi na sio watu baki, jamaa wamefunika kombe mwanaharamu kapita ikaja kanumba wakadandi kwa mbele kutupotezea

sasa hapo wamefunikaje kombe? Wakati rufaa itakatwa tu na chama kinawanasheria makini
 
Back
Top Bottom