Mbunge akwapua zaid ya Tsh. 200,000,000/= za bodi na kulala nazo mbele

Zuia Sayayi

JF-Expert Member
Mar 28, 2011
841
133
Kwa taarifa zilipo hapa jimbo la Magu mjini mkoani Mwanza ni kwamba mwenyekiti wa Bodi ya pamba wilayani Magu ambae pia ni mbunge wa jimbo la Magu mjini Bw. Festus Limbu,
ambae pia aliwahi kumuibia kura mgombea ubunge kupitia tiketi ya UDP bw. NGONGO SEKE
ktk uchaguzi wa mwaka 2010,
Ni kwamba mbunge wetu huyu amechukua zaid ya shilingi million mia mbili za bodi ya pamba na kulala nazo mbele!
Jmn huyu kweli ni kiongozi anaefaa ?
Source:WANABODI WA BODI YA PAMBA MAGU
 
Kusanya ushahidi mpelekee zito akamkanye live bungeni na kumshinikiza Osea aachie ngazi kwa manufaa ya umma!
 
Confident man like him and the emblezzement business which goes on....I wonder where do we want to go as a nation.
 
Amelala nazo nje ya nchi? km sio kwa nini victim wa hizo fedha wasiende polisi na kutoa taarifa ili police massage
zisambazwe ili akamatwe.
 
Back
Top Bottom