Kalunguine JF-Expert Member Jul 27, 2010 2,543 134 Apr 23, 2012 #1 Wana jf nataka kufuatilia mjadala wa bunge kwenye radio zinazotangaza online,arushamambo naona kimya!nyingine ni ipi?
Wana jf nataka kufuatilia mjadala wa bunge kwenye radio zinazotangaza online,arushamambo naona kimya!nyingine ni ipi?
Cheche Mtungi JF-Expert Member Nov 14, 2010 2,619 771 Apr 23, 2012 #2 Ni kweli arushamambo naona wako kimya kabisa,mwenye link ya radio nyingine atupe !
Cheche Mtungi JF-Expert Member Nov 14, 2010 2,619 771 Apr 23, 2012 #4 Saint Ivuga said: TuneIn Web Tuner Click to expand... Yes,naona wataalamu wao wa it wameshtuka,imerudi hewani! Thanks!
Saint Ivuga said: TuneIn Web Tuner Click to expand... Yes,naona wataalamu wao wa it wameshtuka,imerudi hewani! Thanks!
Big One JF-Expert Member Apr 11, 2011 759 47 Apr 23, 2012 #5 hata mm nashangaaa tbc wenyewe wamepotea kulikon hawataki tujue kinachoendelea