Arusha Arumeru Mashariki Sio Shwari | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Arusha Arumeru Mashariki Sio Shwari

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ndallo, Apr 23, 2012.

 1. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #1
  Apr 23, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,134
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  Hapa Arusha maeneo ya Shangarai ukishapita daraja la mto Nduruma sio shwari, ni kwamba Wameru wamefunga barabara ya Moshi Arusha kwa kupanga mawe na askari wameshamwagwa, kwataarifa ni kwamba wananchi wa maeneo ya hapa Arumeru mashariki wanadai mashamba yao. Kwa taarifa zaidi naendelea kufuatilia.
   
 2. l

  lumimwandelile Senior Member

  #2
  Apr 23, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 153
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  asante kwa taarifa
   
 3. M

  Malipo kwamungu JF-Expert Member

  #3
  Apr 23, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 574
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Ndallo tupe taarifa kila habari ya Ar ni nyeti kwa wadau wa JF
   
 4. m

  makumvi Member

  #4
  Apr 23, 2012
  Joined: Mar 26, 2012
  Messages: 93
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Kwani hayo mashamba yapo mikononi mwa nani kwasasa, muwekezaji au Serikali ?
   
 5. Bejajunior

  Bejajunior Senior Member

  #5
  Apr 23, 2012
  Joined: Sep 19, 2011
  Messages: 195
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Kule DOLI hali ikoje?
   
Loading...