Chuo kikuu cha University ndio nini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chuo kikuu cha University ndio nini?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by King Kong III, Apr 23, 2012.

 1. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #1
  Apr 23, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Mh Speaker unatuchanganya,umechemka hapo ulipomtambulisha huyo aliyepata PHD kutoka china,kwanin usingesema amepata kutoka chuo kikuu cha xxx basi na sio amepata phd kutoka chuo kikuu xxx university!

  Nawasilisha.
   
 2. Royals

  Royals JF-Expert Member

  #2
  Apr 23, 2012
  Joined: Nov 19, 2011
  Messages: 1,430
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Muonee huruma tu maana Mheshimiwa Sugu aliwashika pabaya.
   
 3. kaburungu

  kaburungu JF-Expert Member

  #3
  Apr 23, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 1,601
  Likes Received: 2,458
  Trophy Points: 280
  Anajzba sana!!!! she is emotionally unstable msamehe...
   
 4. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #4
  Apr 23, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,673
  Trophy Points: 280
  Hii nayo ni thread kweli JF imekuwa uwanja wa fujo sasa hapa unawasilisha nini?
   
 5. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #5
  Apr 23, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Baadae alikitaja , alitaja kitu kama Shanshang .
   
 6. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #6
  Apr 23, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 443
  Trophy Points: 180
  university of university!
   
 7. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #7
  Apr 23, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 443
  Trophy Points: 180
  Subiri itapelekwa kwenye jukwaa la lugha na mods
   
 8. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #8
  Apr 23, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  Lugha gongana......Kiswanglish

  utaelewa tu ukichanganya lugha mbili bila mpangilio.
   
 9. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #9
  Apr 23, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Ficha upumbavu wako onyesha hekima yako---Invisible

  ritz hii ni sredi pia lengo ni kuwekana sawa yeye ni kiongozi mkubwa makosa kama yale yashazungumzwa sana ni sawa mtu aseme barabara ya kilwa road? Hospitali ya muhimbili Hospital? Chuo kikuu cha shangshang university? Najua wewe ni mchumia tumbo lkn kuna mambo mengine tumia hata 0.0001% ya akili yako sio mda wote kubwabwaja.
   
 10. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #10
  Apr 23, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Yap alikitaja sema ndio kachemka «Chuo kikuu cha shangshan university»
   
 11. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #11
  Apr 23, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,673
  Trophy Points: 280
  "Ushabiki Mandazi~Source MTM"
   
 12. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #12
  Apr 23, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,197
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Thread Kama hizi ndio zinakuvuta kwasababu ndio unazipenda mdaku wewe
   
 13. MPAMBANAJI.COM

  MPAMBANAJI.COM JF-Expert Member

  #13
  Apr 23, 2012
  Joined: Mar 2, 2011
  Messages: 704
  Likes Received: 159
  Trophy Points: 60
  kakosea kisarufi...ila thread yako nyepesi sana
   
 14. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #14
  Apr 23, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Akina mama wa kikundi cha umoja group wata demonstrate wakiwa wanaandamana kutoka barabara ya morogoro hadi kwenye junction zinapoungana na barabara ya mandela road
   
 15. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #15
  Apr 23, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  hii inafaa jukwaa la lugha..
   
Loading...