Nimemuona Ngereja bungeni hivi sasa; tumedanganywa yuko Malawi na rais

MAMA POROJO

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
4,974
785
picha za Rais na Ngeleja wakiwa malawi zimesambazwa hapa na kuibua mjadala mkubwa. Jf tuwe makini kuleta hapa habari za uongo?

Ni kweli ngeleja kaonekana kwenye picha akiwa na Rais lakini inaonyesha picha hiyo ilipigwa wakati Rais anaondoka Nyerere airport Darb es salaam ikiwepo pia Mkuu wa mkoa Mecky sadiq.

TBC imemuonyesha Ngeleja akiwa bungeni Dodoma mkutano wa bunge unaondelea hivi sasa
 
Ngeleja siyo mbunge tena Slaa Na Kamanda lema wamekwapua wapiga kura wake wote kule Sengerema.
 
Hiyo ni picha ya maktaba: mh Rais ameongozana na Mh. Membe kuhudhuria mazishi ya Bingu
 
mamaporojo soma vizuri michango ya watu umeambiwa hizo ni picha za zamani sio leo au jana inamaana mama hujui jf kuna wachekeshaji pia?
 
Joh:3:16: For God so loved the world, that he gave his only begotten Son, that whosoever believeth in him should not perish, but have everlasting life.

Joh:15:7: If ye abide in me, and my words abide in you, ye shall ask what ye will, and it shall be done unto you.
 
naendelea kukufatilia...jengo ninalo kubwa kutosha, natafuta mch. Fanya bidii tutengeneze hela ndefu.
 
Back
Top Bottom